Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

Alexandry Nemesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,508
Reaction score
590

Chanzo:
Mwananchi
 
Gazeti la leo tutalisoma kesho huku tuliko, tuambie ni mjumbe gani huyo? Inawezekana wanaanza kuokoka!
 
Ccm akijiunga na ukauwa ndio itakuwa mwisho wa dunia
 
Taarifa ya hofu hii, haina details za kutosha, ni uzushi mtupu
wewe ni kibaraka wa ccm, utake usitake wengi wanaomjua Mungu watajitenga na uhuni wa ccm wa kuondoa au kuchakachua rasimu ya katiba, ebu fikiria hata kipengele cha maadil na uwajibikaji ccm wamekiondoa je katiba hii ni ya mashetani? kama ndivyo ujue ccm ndiyo shetani mwenyewe kwani hawapendi maadili. Acha ushabiki wa siasa, UKAWA songeni mbele.
 
Dunia yako imekwsiha? Ulidhani wote wataendelea kuishi kwa kiapo cha kinafiki? Wapo watu ccm wanaojitambua kuliko wewe bendera fuata upepo, akili zilishapewa likizo bila malipo kwa muda usiojulikana!. Pole sana. Akidi inazidi kupungua. Bado ambao hawajasema.

QUOTE=ifweero;10393025]Ccm akijiunga na ukauwa ndio itakuwa mwisho wa dunia[/QUOTE]
 
Ni kweli ameonekana akipendekeza kuwe na Bunge la Tanganyika na Zanzibar(Wawakilishi) halafu Bunge la Muungano liwe na wawakilishi wachache kutoka miongoni mwa Wabunge wa Tanganyika na Wawakilishi wa Zanzibar
 
Ccm akijiunga na ukauwa ndio itakuwa mwisho wa dunia
ndiyo wamesha jiunga hivyo, ccm mmebaki na ushabiki tu hamna jipya, namwomba Mungu ajalie katiba ya shetani isipitishwe, ni ya shetani kwasababu hata vipengele vya uwajibikaji na maadili wameviondoa, Eee Mungu utuepushie hili janga (katiba ya ccm ) AMENI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…