Mjumbe CCM ajivua uanachama

Nadhani kunakaribiana na kuishabikia timu ya ARSENAL chini ya Wenger!

Sikia wewe?!!!!FUTA HII KAULI YAKO.Jadili hayo yenu ya uchadema wenu na uccm,lakini hapa sasa unataka kujua hisia zetu ziko wapi,huna adabu kabisa wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Magazeti ya Tanzania bana. Habari zake mara nyingi huwa nusu nusu. Sijui mjumbe wa Halmashauri kuu ipi?

Halafu huyu Prince Sabby Rwazo ana lake jambo.

Yeye ndiyo alikuwa mpishi wa dira za chama kama MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), chakula alichokipika mwenyewe kimemshinda ndiyo anakuja kwa jamii kupiga domo. kama ni hivyo basi na yeye ni walewale.
 
Ni vema ikaelezwa ni nec ipi ili iweze kuwa na mshiko zaidi hata hivyo hongera kwa kuuamini ukweli
 
unafikiri wameandika hivyo kwasababu hawana weledi wa uandishi wa habari?
you should read Uhuru and Habari Leo often!!
 
Mwanga wa milele uiangazie CCM, ipumzike kwa amani.
 

Sasa WILLIAM MALECELA atagombea hiyo NAFASI ya WAZI ya CCM-NEC???
 
Big challenges for those who know the problems but have no solutions. Get out, the door is open.
 

Rwazo(29) who???
Seems to be a small fry!
A member of no significance.

Halafu, source ni CHADEMA's Tanzania Daima? you must be kidding!
 
Huyo sio kashindwa ndio anasema sizitaki mbichi hizoooo? maana ugaguzi umeisha jana na kama alishiriki, hizo hela alipata wapi? maana ndani ya CCM bila hela, inakula kwako!

 
Hata mjumbe wa kata nayo ni habari?

Chama
Gongo la mboto DSM

Leo unasahau kuwa hao ndio ambao hupanga mikakati ya kuiba kura kwenye ngazi hiyo, kwa sasa akitoka hata M/kiti wa kitongoji kwenye Chama Cha Majambazi ni hatua moja kwenda mbele, tunataka kufanya mageuzi ndani ya nchi bila kumwaga damu, hivyo hata kama angekuwa mjumbe wa mtaa ni mhimu sana.

Kumbuka huyoni Mkuu wa Shule na pale anafundisha vijana wanaokuja uraiani, hivyo atatoa Elimu nzuri ya Uraia kwa sasa hivyo mchngo wake ni mhimu sana kwenye mabadiliko, ila tu msifukuze kazi
 

Kwa hali ilivyo ndo maana tunashindwa kutekeleza majukumu yetu kiserikali hivi unakuwa mwalimu(Mtumishi wa serikali) halafu ni kiongozi ndani ya chama cha siasa na sijui sheria za kazi zinasemaje kwa watu kama hawa au ni tatizo tu kwa mtumishi wa serikali kuwa chama cha upinzani na sio CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…