MJUE STUNT: Mungu akusaidie usiwe “Stunt”

View attachment 2968864

Muigizaji maarufu Anorld Swazenegger akiwa katika picha ya pamoja na stunt man wake. Stunt ni mtu mwenye ufanano anaecheza vipengele hatari kwa niaba ya mhusika mkuu

Hawa ma stunt ni watu wenye uwezo mkubwa kimedani (katika kupambana au kufanya matukio ya kibabe) kuliko waigizaji wakuu

Unaambiwa duniani karibia waigizaji wote wakubwa wana ma stunt wao kasoro Legend Jackie Chen pekee, yeye ndio huwa anacheza mwenyewe matukio yote

Cha kusikitisha ni kwamba hawa ma stunt huwa sio maarufu, wala hawajulikan sana
Vipi Tom Cruise naye?
 
Waigizaji wasio na stunt men sio Jackiw Chan peke yake,pia kuna Jet Li,Tonny Jaa,Sammo Hung,Donnie Yen,Kazu Patrik Tang n.k n.k.
Asian actors wengi hawana stunt men.
 
Nini kinasababisha nafasi yabuigizaji apewe Anorld enzi hizo badala ya huyo jamaa mwenye uwezo zaidi
Unakuta mtu hajui kuigiza yani ku play the whole role,sasa huwezi ukampa character ilhali movie haiishii kwenye action peke yake,kuna drama na mengineyo.
 
Nini kinasababisha nafasi yabuigizaji apewe Anorld enzi hizo badala ya huyo jamaa mwenye uwezo zaidi
Ni kama kwenye mziki tu. Unaweza ukawa mpiga kinanda mzuri ila ukiwekwa studio uproduce nyimbo unabaki unang'aa macho tu.

Uigizaji una misingi yake na mingi ipo kwenye hisia. Kuweza kuweka hisia za kuigiza kwenye uhalisia ndo uigizaji wenyewe. Sio kazi rahisi hata kidogo.
 
Mleta mada kajielekeza vibaya apo mwisho . Una mjua Tom cruise ?
 
Cha msingi ni wanalipwa hela ndefu hao ma stunt ,get rich or die trying
 
Back
Top Bottom