Mjue Simba

nisaidie

kuwaelewesha wadau hapo

hawa jamaa wanataka kuongoza kwenye kila kitu tena wanamiliki kila kitu

Diamond wakwao
mt kilimanjaro wakwao
olduvai gorge wakwao
wale nyumbu wetu wanaoenda kwao kwa msimu from serengeti to kenya eti nao ni wa kwao

Ngoja Jf wapate tuzo na ya forum bora africa na humu kuna majukwaa yao special basi hatutalala kudadeki
 
Pia hufurushwa na mbwa mwitu ambao ni wadogo sana kwa umbile yaani sawa na mbwa wa kufugwa na binadamu. Kwa ufupi Simba anaishi polini kiujanja ujanja tu - labda tuite misheni bush.
 
Pia hufurushwa na mbwa mwitu ambao ni wadogo sana kwa umbile yaani sawa na mbwa wa kufugwa na binadamu. Kwa ufupi Simba anaishi polini kiujanja ujanja tu - labda tuite misheni bush.
au bubaa
 
Ninavyofahamu Tiger ndie mkubwa katika hawa jamii ya mapaka. Niko tayari kurekebishwa.
 
Samahan mkuu nahitaji kujua jinsia yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…