Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Sep 7, 2021 #21 Joo Wane said: Kama sikosei anaitwa FUNGO. Huyo mnyama kama akinya leo ubungo kesho akipata haja kubwa hata kama yupo Tegeta atarudi pale pale Ubungo sehemu aliyojisaidia jana yake. Click to expand... Kama akipata uhamisho kutoka Mikumi kwenda Brazil atafanyaje?
Joo Wane said: Kama sikosei anaitwa FUNGO. Huyo mnyama kama akinya leo ubungo kesho akipata haja kubwa hata kama yupo Tegeta atarudi pale pale Ubungo sehemu aliyojisaidia jana yake. Click to expand... Kama akipata uhamisho kutoka Mikumi kwenda Brazil atafanyaje?
hata mimi JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 1,356 Reaction score 1,447 Sep 7, 2021 #22 Huyu ndo kwanza namsikia na kumwona leo! Dunia ni pana kweli kweli