Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
Kaliwahigi kuninyang'anya mtoto wa mbuzi machungani haka!Jina caracal ni jina la kiingereza limetokana na neno la kituruki "karakulak" ikimaasha 'maskio meusi ,jina la kiswahili anaitwa "simba mangu" ambalo wanafalsafa wanasema linamaanisha secretive cat au secretive lion.
kwa kiswahili ni paka wa siri au simba wa siri kwasababu ya kuonekana kwake kua ni adimu (wanaoujua jina mangu ni kikabila na lina maana gani watuambie)
Caracal anapatikana kwa wingi sana Africa ya ndani na nchi za nje ya afrika za mashariki ya kati kidogo sana , awa wao huishi katika hali ya miti kiasi (savanna),katika majangwa pia hata katika misitu hata Tanzania wapo pia
Caracal sio mkubwa kama simba au chui ni mdogo kiasi. Dume uanzia uzito wa kilo 8 adi 20 jike ua na kilo 7 adi 15 , wana maskio meusi yenye manyoya marefu juu pia wana mikia mifupi unaeza sema kama wamekatwa nusu mkia wanakula kiumbe chochote kile anachoona anakimudu kuanzia panya hadi sungura
Simba mangu wamebarikiwa uwezo mkubwa sana wa usikivu na ndo kama silaha yake kubwa kwenye uwindaji wana muscles zaidi ya 20 kwenye masikio zilizojiunda katika makundi matatu ambayo humsaidia kua super sensitive ,na manyoya juu ya maskio hua kama antenna yani anajua kua mawimbi haya ya upepo yamebadilika kutokana na kupita kiumbe fulani
Pia chakula chao kikuu ni ndege wa angani ,ana uwezo wa kuruka juu kwa futi 10 hewani ni kiumbe wa pili duniani kwa kuruka juu akiwa nyuma ya "Cougar" au Puma , ndo maana miguu yake ya nyuma inaonekana kujazia sana ,fence zinazozidi futi 10 mara nyingi ni za viwanda hivyo unaona ni jinsi gani mnyama uyu anaruka
Lakini awa pia ni solitary animals ,yani wanyama wanaojitenga hawafungamani na caracal wenzie isipokua analea mtoto au anataka kujaamiana baada ya hapo kila mmoja anajua life lake ataishije
Tuletee na GENET sijui kwa kiswahili anaitwaje...
Huyu ndie mnyama ambae huwa anakunya sehemu hiyo hiyo!!
Inamaana akisafiri kwenda iringa akafika mikumi mavi yakimbana atarudi dar kujisaidia kisha anaanza kurudi iringa te#kwa kiswahili anaitwa kanu
Ahahah[emoji1787] ***** hii comment imenichekesha snTuletee na GENET sijui kwa kiswahili anaitwaje...
Huyu ndie mnyama ambae huwa anakunya sehemu hiyo hiyo!!
Inamaana akisafiri kwenda iringa akafika mikumi mavi yakimbana atarudi dar kujisaidia kisha anaanza kurudi iringa tena..
Kama sikosei anaitwa FUNGO. Huyo mnyama kama akinya leo ubungo kesho akipata haja kubwa hata kama yupo Tegeta atarudi pale pale Ubungo sehemu aliyojisaidia jana yake.Tuletee na GENET sijui kwa kiswahili anaitwaje...
Huyu ndie mnyama ambae huwa anakunya sehemu hiyo hiyo!!
Inamaana akisafiri kwenda iringa akafika mikumi mavi yakimbana atarudi dar kujisaidia kisha anaanza kurudi iringa tena..
Kwa kingereza anaitwa lynx ama Puma. Sijui pia mountain lions wa north America wako kundi moja na haya makitu.Jina caracal ni jina la kiingereza limetokana na neno la kituruki "karakulak" ikimaasha 'maskio meusi ,jina la kiswahili anaitwa "simba mangu" ambalo wanafalsafa wanasema linamaanisha secretive cat au secretive lion.
kwa kiswahili ni paka wa siri au simba wa siri kwasababu ya kuonekana kwake kua ni adimu (wanaoujua jina mangu ni kikabila na lina maana gani watuambie)
Caracal anapatikana kwa wingi sana Africa ya ndani na nchi za nje ya afrika za mashariki ya kati kidogo sana , awa wao huishi katika hali ya miti kiasi (savanna),katika majangwa pia hata katika misitu hata Tanzania wapo pia
Caracal sio mkubwa kama simba au chui ni mdogo kiasi. Dume uanzia uzito wa kilo 8 adi 20 jike ua na kilo 7 adi 15 , wana maskio meusi yenye manyoya marefu juu pia wana mikia mifupi unaeza sema kama wamekatwa nusu mkia wanakula kiumbe chochote kile anachoona anakimudu kuanzia panya hadi sungura
Simba mangu wamebarikiwa uwezo mkubwa sana wa usikivu na ndo kama silaha yake kubwa kwenye uwindaji wana muscles zaidi ya 20 kwenye masikio zilizojiunda katika makundi matatu ambayo humsaidia kua super sensitive ,na manyoya juu ya maskio hua kama antenna yani anajua kua mawimbi haya ya upepo yamebadilika kutokana na kupita kiumbe fulani
Pia chakula chao kikuu ni ndege wa angani ,ana uwezo wa kuruka juu kwa futi 10 hewani ni kiumbe wa pili duniani kwa kuruka juu akiwa nyuma ya "Cougar" au Puma , ndo maana miguu yake ya nyuma inaonekana kujazia sana ,fence zinazozidi futi 10 mara nyingi ni za viwanda hivyo unaona ni jinsi gani mnyama uyu anaruka
Lakini awa pia ni solitary animals ,yani wanyama wanaojitenga hawafungamani na caracal wenzie isipokua analea mtoto au anataka kujaamiana baada ya hapo kila mmoja anajua life lake ataishije
Nimecheka sana ukiviona kama vipole kumbe vina balaa lakeKaliwahigi kuninyang'anya mtoto wa mbuzi machungani haka!
Coalition huundwa na madume yaliyofukuzwa katika pride(ukoo).Safi sana mkuu umenikosha sana napenda sana wanyama, ukipata muda tuletee na stori ya Mapogo lion coalition, the badass lion coalition of all time
Mkuu Shukrani. Nimejifunza mambo mageni na maarifa nimeongeza. Maelezo mazuri sana.Coalition huundwa na madume yaliyofukuzwa katika pride(ukoo).
Simba baba humiliki wake 2 au 3 ikiwemo na watoto..
Katika watoto hao huwa kuna majike na madume!
Baada ya miaka 2 wale madume huanza kubalehe.
Hivyo baba mwenye familia huwafukuza ili wasije kupanda madada zao(interbreeding).hili jambo simba baba huwa hakubaliani nao ni lazima waondoke hata kwa kipigo.
Baada ya kufukuzwa wanakuwa hawana makazi rasmi hivyo wanaunda coalition ili kuunga nguvu ya kujipatia riziki..
Hawa huwa wanaenda mbali zaidi ikiwa na bahati wakakuta sehemu kuna baba ameshazeeka na wanampiga kisha kumfukuza na kujimilikisha ile familia.
Hapo tayari wana establish territory yao!!
Katika mapigano hadi simba jike humsaidia mume wao asiondolewe!!
Sababu wale vijana wakishachukua mamlaka huanza kuua wale watoto wadogo wa kuanzia mwaka kushuka chini.hivyo majike hulinda watoto na mume wao pia.
Wale watoto wadogo wanaonyonya wakiuliwa hupelekea wale wamama kuingia kwenye heat mapema zaidi.
Hivyo wale coalition huonyesha ubabe wao na atakae kuwa na nguvu ndie ataanza kupanda jike ili kuweka bloodline yao!!
Hiyo ndio cycle ya maisha ya simba..
Simba ni mnyama mwenye aibu na dume huwa na nywele shingoni kwaajili ya kumlinda asiumizwe shingoni akiwa analinda familia yake.
Watoto huzaliwa ndani ya siku 90 na hutolewa kutambulishwa kwenye familia wakiwa na mwezi 1.kwa huo muda wote mama huficha watoto wake!
Simba hawana msimu wa kuzaa wao huzaa kipindi chote.
Simba anaishi miaka 15 hadi 17.
Ulimi wake uko kama msasa kwaajili kutolea ngozi anapokula nyama.
Mboo yake pia ina miba miba(STUDS)hii kwa ajili ya kustimulate jike!!
Ndio maana wakati anaichomoa huwa inatokea vurugu..
Simba huwa hana hirizi ule ni uongo naomba muupuuze..
Simba anapokula nyama huwa anameza manyoya na vipande vya ngozi na majani..
Hivyo baada ya muda uchafu huo ukizidi tumboni huutapika ukiwa na mfano wa mpira..
halina akili hilo...Tuletee na GENET sijui kwa kiswahili anaitwaje...
Huyu ndie mnyama ambae huwa anakunya sehemu hiyo hiyo!!
Inamaana akisafiri kwenda iringa akafika mikumi mavi yakimbana atarudi dar kujisaidia kisha anaanza kurudi iringa tena..
Huyo hajakutana kinyesi siriazi....ngoja siku apate ugonjwa wa kuhara tuone kama atafanya huo upuuxiKama sikosei anaitwa FUNGO. Huyo mnyama kama akinya leo ubungo kesho akipata haja kubwa hata kama yupo Tegeta atarudi pale pale Ubungo sehemu aliyojisaidia jana yake.
[emoji23][emoji23]Huyo hajakutana kinyesi siriazi....ngoja siku apate ugonjwa wa kuhara tuone kama atafanya huo upuuxi
Jina caracal ni jina la kiingereza limetokana na neno la kituruki "karakulak" ikimaasha 'maskio meusi ,jina la kiswahili anaitwa "simba mangu" ambalo wanafalsafa wanasema linamaanisha secretive cat au secretive lion.