Mjue shetani alivyo

Ni sehemu moja tu umepatia, ni kuhusu Belzebur basi.
Lucifa ndo Shetani mwenyewe, jina hilo alipewa na Mungu, na alikuwa malaika mkuu wa sifa huko mbinguni kabla hajaasi.
joka, ni umbile tu ambalo Shetani hupenda kuvaa, maana Shetani ni roho, kiuhalisia Shetani ni handsome Sana.
 
Hakuna mkuu mm nimeshawaona wote nina uhakika na ninachokisema
 
Kk sikufuru yaan huyu shetani nguvu alizonazo kapewa na Mungu Mwenyezi YEHOVA na vile vile aliumbwa na yeye mwenyewe

unaongea vitu ambavyo huna elimu navyo mkuu

muogope mungu bora uwaulize watu wenye ujuzi wa hayo mambo kuliko kuropoka tu humu kwenye mtandao

GOD IS WATCHING YOU KIJANA[emoji1542]
 
unaongea vitu ambavyo huna elimu navyo mkuu

muogope mungu bora uwaulize watu wenye ujuzi wa hayo mambo kuliko kuropoka tu humu kwenye mtandao

GOD IS WATCHING YOU KIJANA[emoji1542]
Haya ww mwenye ujuzi navyo tujuze basi..maana mm kwa ufahamu wangu Mungu ndiye muumbaji wa viumbe vyote
 
Kwa hiyo hilo joka limezaa mtoto Lusifa? Kumbe ibilisi ni nyoka, sikuwa najua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…