Umenikumbusha singa singa wa Escrow Sigh Seth singacsinga mhehe wa Iringa mtoto wa mwenye kampuni ya Ujenzi ya Iringa ya Ruaha Concrete company (RCC) ya Iringa.Ofisi zao zikikuwa pale karibu na Railways Iringa karibu na ghala la National milling nyuma ya hotel ya Isimila hotel.Nilishawahi kwenda ofisi zao kwa assignment fulani.Sijui bado wapo pale?