Mjue Raia Muuza mitumba aliyeua CCM Iringa bila huruma

Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
Umenikumbusha singa singa wa Escrow Sigh Seth singacsinga mhehe wa Iringa mtoto wa mwenye kampuni ya Ujenzi ya Iringa ya Ruaha Concrete company (RCC) ya Iringa.Ofisi zao zikikuwa pale karibu na Railways Iringa karibu na ghala la National milling nyuma ya hotel ya Isimila hotel.Nilishawahi kwenda ofisi zao kwa assignment fulani.Sijui bado wapo pale?
 
Wewe unamjua vizuri......nimekukubali!
 
vipi kuhusu msigwa kuiteketeza ccm Iringa huku akiwashinda hoja akina Mangula , kasesera , mwakalebela na Mahiga ? sijamtaja Hapi maana huyu ni dagaa tu
CCM haijateketea Iringa tatizo ni wasemaji wake ndio siyo makini.

Kwa mfano wale akina Mwamoto yaani Venance na dada yake Rita na yule Mgimwa wa Kalenga ndio wamepewa jukumu la kucheza na Msigwa...watamuweza kweli?!

Happi na Kasesela siasa za Iringa hawaziwezi.......Iringa kunafaa viongozi aina ya Mtaka au mama Mghwira aliyemfungisha virago mbunge Jafar kimya kimya!
 
Msigwa bhana...ila wewe ni kichwa sana. Ulitia aibu tu siku ile ulipokuwa unajinyenyekeza kwa mtekaji na muuaji alipokuja kufanya ziara mkoani kwako...yaani unatetemeka kabisa mbele ya mzee meko???!!!
Ni mkwewe wameoleana
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom