Mjue mwanaume

Mjue mwanaume

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,374
Reaction score
3,392
Habari za jioni wakuu

Leo nimeona nimzungumzie huyu kiumbe mashuhuri anaye itwa mwanaume

Kiumbe huyu mungu kamuumba kwa namna ya tofauti Sana na utofauti huo siyo sura yake ambayo akiwa kwenye matatizo Ina fanana na ngili/ nguliwe Poli

Bali hata namna yake ya kufikiri,kufanya,kutenda,kuamua,na kuwaza nikiumbe ambaye yupo tofauti sana

Sasa yafwatayo ni vile mwanaume alivyo

1)nikiumbe mwenye sifa

Wana sema mwanamke anapenda Sana kusifiwa lakini hamfikii mwanaume niamini

Majina yote ya mwanaume Kama,mwamba, ngumu,mtata,kidume,jembe,pedeshee, tajiri,mkurugenzi,boss,nk nimajina yaliyo tokana na sifa kwa sababu anapenda sifa

Kwahiyo wewe mama hapo nyumbani,hapo grocery,na hapo bar,na hapo mgahawani ukitaka jamaa afunguke au

azame mfukoni, au awe mteja wewe mpe misifa tu katika kile anacho kifanya

Kama nimtafutaji Basi msifu kwa kutafuta/kuwa mtafutaji atazidisha

Kama ni mpiganaji msifu kwa uhodari wa upiganaji ata zidisha

Na Kama ni mtafutaji na mwenye malengo msifu kwa kuwa mwenye malengo atazidisha

Wanawake wengi hufanya hivyo kwa waume zao ili kuwafanya wafikie lengo frani kwenye maisha

kwa kuwaambia kwamba mme wangu najua una weza kujenga,kununua gari,kufungua maduka na wanaume wao hufanya hivyo kweli

2)Kila anacho fanya ni kwa ajiri ya mwanamke

Waganga wengi huwaambia watu kwamba utakuwa na Hera Ila usitoke nje ya ndoa na wanaume wengi hushindwa kufanya hivyo na kujikuta Wana okota makopo

Unajua kwanini?

Waganga sio wajinga wanalijua hilo mwanaume humwambii kitu kuhusu mwanamke

Kichwani kwa mwanaume Kuna vitu vitatu vinavyo msubua Sana akili

1)Nyumba nzuri

2)gari nzuri

3)mke mzuri

Ukitoa kimoja hapo mwanaume hujiona haja kamilika

3) kuona mbali

Mwanaume huwaza kwa ulefu Sana hata kwenye ndoa inapo tokea ugomvi mke aka amua kuondoka Basi mwanaume huwa wa Kwanza kujaribu kuweka Mambo sawa Hilo lisi tokee

Siyo kwa sababu anampenda Sana mkewe no. Ila nikwasababu kichwani kwa mwana ume anaona watoto watakavyo teseka baadae

Anaona mke atakavyo Anza kuhangaika mitaani kwa kuuza matunda Kama sio kwenda kufanya kazi za kujiuza mitaani au kwenye ma bar na night crubs

Kisha aibu kumludia yeye hivyo hujitahidi kuzuia lisitokee

Kwahiyo wewe dada ukiona mumeo Ana kubembeleza sio mapenzi bari Ana ihofia kesho yako na watoto zako

4) mwanaume siyo mbinafs

Anapo Jenga Nyumba kichwani kwake hufikiria kwamba Baada ya yeye kufa

Basi atakuwa ame mwacha mkewe na watoto kwenye mazingira sarama" hafikirii kwamba Baada ya mkewe kufa atakuwa ame mwacha yeye/mwanaume na watoto sehemu sarama

Hapo utaona jinsi gani mwanaume ni mtu wakujitoa kafara kwa ajiri ya wengine

5)hapendi usariti kwenye mapenzi

Katika vitu ambacho mwanaume anachukia kwenye maisha yake Basi nikuingiliana kimapenzi na mwanaume mwingine kwa mke wake

Hata Kama ata samehe Basi elewa kwamba hakuamini na kamwe hayo kuamini tena Baada ya kulijua Hilo maisha yenu yote

6)Ana penda kuheshimiwa

Kitu Cha Kwanza mwanaume Ana penda niku heshimiwa mwanaume hapendi dharau Wala hasahau ukimdharau

Mambo yote anayo ya fanya mwanaume,utaftaji wote kitu pekee anacho kitaka ni heshima ukimvunjia hicho aisee haji Kuku samehe Wala kusahau

7)msamaha

Hakuna kitu mwanaume humvutia Kama Neno samahani ya dhati

Ukimkosea omba msamaha hata kosa liwe kubwa kiasi gani ukiomba msamaha akajua kweli unajutia kosa lako mwanaume husamehe papo hapo

Na hutengeneza mazingira usihisi kabisaaa kwamba hajakusamehe hata Kama Ana kinyongo

Zidisha juhudi kwa maneno na vitendo kuomba msamaha kadri utakvyo zidi kufanya hivyo utamfanya asahau taratibu

Ukiskia wanaume wame pigana Basi Kuna Mambo mawili

a)pesa

B)kuvunjiana heshima

Mwanaume mnyime pesa mpe heshima Ina tosha Sana

8)hapendi uonezi

Ukitaka uamini hili mpige mkeo/mtoto wa kike kwa ngumi mbele za wanaume wenzio
Uone kitakacho kukuta

🙏🙏🙏
 
Attachments

  • 1758952591953.jpg
    1758952591953.jpg
    127.7 KB · Views: 24
Wewe kiumbe umetoa wapi hizo taarifa au umeenda kule kati kugoogle unakuja kuwalisha matango mwitu wadada wa watu, au ulikua na kikao cha umbea na yule demu wa Elon Musk wa kuitwa ChatGPT, acha mapema kabisa dhambi ya uongo ni mbaya.
 
Subiri kwanza tumtafute slow
 
Iyo namba Tano umeweka ya Nini ndo ubinafai wenyewe Sasa et sio msaliti my foot 😜
 
Back
Top Bottom