Mjue mwanamke

Ungeeleweka zaidi kama ungeweka jinsi wanavyopiga mizinga ya saloon na vocha
 
Ama kweli mwanamke anastahili pongezi nyingi sana.
 
Ujinga mtupu! Acheni hoja zakitoto hapa JF. Lets be objective jamani, hizi hisia juu ya wanawake hazina tija. Ni hawahawa wanatoa mimba, wanatupa watoto chooni etc.
Kila kiumbe kina umuhimu wake jua hilo.

hizo mimba wananunua mlimani city??
 
Daaah hii thread imenikumbusha matendo mazuri ya mama yangu na mke wangu mtarajiwa, nawapenda sana hawa viumbe wawili.

Heshima kwa wanawake woote wema sio kwa magumegume
 
Huo ni mgawanyo wa majukumu alioutoa MUNGU...na hakuna aliyependelewa wala kuonewa....
 
Basi vivulana visivyo na adabu vitabishaaaaa! Sijui wamelelewa na nani hivi vitoto km havikuzaliwa vile, ila vikikua vitakuwa na heshima kwa wanawake.
 
afu sumbai nini lakini unataka niuache mwaka vibaya kwa kuachika?acha kumrusha roho my kibo10..atanisusia kunipeleka holiday mwenzio

Ahaa haa mwambie apunguze wivu. Maana vzuri anakula na wenzake.

Nitakupeleka dubai
 
anakuua kirahisi sana vile2!!

Muheshimu mwanmke!
 

Nimekuelewa sana ila bana huyo mwanamke unayemzungumzia awe mweupe basi ndio wanakua na promise za ukweli kwa hawa wa bongo na Africa kwa ujumla kisha wana maisha ya kimaigizo sana mapenzi yao ni filam ukimpenda sana anakupa limbwata ili uwe zoba mimi nimekwisha toka jamani
 
Vipi wale wachepukaji wawili ambao ni members wa jf walivyopigwa mimba na michepuko yao, au ni wanaume hao?
 
Kizuri kula mwenzio kwa mwanaume tuu? Mbona ikifanyika kwa mwanamke ni vita???

kizuri kula na mwenzako bibi wee unataka awewako peke yako umemuumba huyoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…