Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,585
- 12,444
your loosing time for nothingAINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE.[emoji1362]
Dr love Gilly
[emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519]
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
[emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523]
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!

3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!
[emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!
[emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523]
6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!
[emoji526][emoji526][emoji526][emoji526][emoji526][emoji526][emoji526][emoji526]
7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!

8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!
[emoji526][emoji526][emoji526][emoji526][emoji526][emoji526][emoji526]
9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!
10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!
[emoji532][emoji532][emoji532][emoji532][emoji532][emoji532][emoji532]
11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!

13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.

14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.
[emoji1362][emoji1362][emoji1362][emoji1362][emoji1362][emoji1362]
**HIZI NI HASIRA WALIZONAZO WANAWAKE**
AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE.[emoji1362]

some how isn't my business?
Wala hata nisifiche wanawake mi nawapenda sana.. ila Kuna baadhi ya vijitabia dah! Mpk nahisi walitokea sayari isiyofahamika!. Hasa unaingia kwenye mapenzi na mtoto wa kike kwa malengo ila unakuwa na wasiwasi hujui Kama yupo nawe kweli au anadanga!!
Namba 1 hunitokea sana hasa kosa la mwanzo mwanzo nikichukia naishia kulia tu
Namba 10 pia naamua tu kula buyu
Namba 14 hiyo nikiwa nimechoshwa na matukio,,, ni hali mbaya sana huwa ni point of no return
Wala hata nisifiche wanawake mi nawapenda sana.. ila Kuna baadhi ya vijitabia dah! Mpk nahisi walitokea sayari isiyofahamika!. Hasa unaingia kwenye mapenzi na mtoto wa kike kwa malengo ila unakuwa na wasiwasi hujui Kama yupo nawe kweli au anadanga!!
Pabaya mno sipataki hapo bora nibakie 10 tu