Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

Huyo jamaa mkimfuata watu kama kumi huwa anafurahi sana na mara nyingi ugomvi wake hapigani na mtu mmoja
Pale kwa mnyamani wanamjua huyo jamaa alishawai kuwavunja mikono zaidi ya watu kama 7

Bora nae auwawe tu huo ushahidi wa kimahakama wa nini kwa mtu kama huyu

Sent from mTalk
cc barafu
 
Hapa alikua anahojiwa wapi na kuhusu nini.... nadhani kuna mengi juu ya huyu mtu...angekua kibaka tu wa kawaida tusingejiuliza

1475740986581-jpg.413152
Hapa shindano la Dume condom
 
HISTORIA FUPI YA SCORPION:

Alivyokuwa mdogo alikataa kusoma mama yake mzazi alishafariki siku nyingi na alikuwa akilelewa na mama yake mdogo maeneo ya Yombo buza .
Alishawahi kufungwA jela japo haijajulikana alikosa nini, najina lake kamili ni Salum Njwope na jina hilo nila babu yake.Kwa mujibu wa mama yake mdogo anasema Scorpio alipokua akitoka nyumbani usiku saa mbili anamuaga mama yake mdogo huyo kuwa anakwenda kwenye kazi ya ubaunsa katika club kumbe mwenzie alikuwa anaenda buguruni kuibia watu mpaka asubuhi ndio anarudi nyumbani.
Pia scorpion ashawahi kushiriki katika shindano lililojulikana kama dume challenge kama miaka mitatu iliyopita na aliibuka mshindi. Napia alianza mafunzo ya kucheza caret tangu akiwa mdogo sana napia ni mtu mwenye nguvu za kuzaliwa nazo.
Kuna kipindi aliondoka nyumbani kwao kwa muda mrefu mama yake mdogo anadai alikuwa hajui yuko wapi mpaka baadae aliporudi mwenyewe nyumbani.

Embu ona kijana "handsome" and well built body but a criminal ..i think atakua ana mental disorder sio bure akachekiwe medula oblangata kama zafanya kazi

1475755367791.jpg
 
Hao wa vigogo pia wana haki ya kuishi, kuwa mtoto wa kigogo au tajiri haimanishi hustahili kuishi au kufanyiwa unyama, huyu kama ndo muhusika halisi hastahili hata kula ugani na maharage yetu ya jela kuendelea kutumia kodi zetu anapaswa kunyongwa tu tena hadharani.

Mdau alimaanisha aende kule akaone kitakacho mtokea
 
Scorpion ni mhalifu hatari ambaye amekuwa akifanya mambo mengi ya kinyama kwa watu na mali zao eneo la Buguruni na maeneo mengi ya jijini Dar na Tanzania kwa ujumla.

Wiki iliyopita alifanya tukio la kinyama la kumtoa macho mpita njia maeneo ya Buguruni na wananchi wakawa wanaogopa hata kusaidia, ila inaonesha ana genge kubwa analoshirikiana kufanya huu unyama na ndio mana anapata jeuri ya kufanya unyama wa kutisha mbele za watu bila kuogopa.

Hivyo tunamuomba Waziri wa mambo ya Ndani Mh Mwigulu Lameck Nchemba, IGP Ernest Mangu na Idara yote ya usalama wa taifa wafuatilie vizuri mizizi ya huyu mtu na kuing'oa hiyo mizizi, ili kuweza kuwalinda watanzania na watu hatari kama hawa.

Kingine ni kuiomba serikali itoe adhabu kali kwa huyu muuaji scorpion ili pia iwe fundisho kwa wenzake waliopo mtaani.

Hizi ni baadhi za picha za muuaji scorpion na aina ya maisha yakeView attachment 413152View attachment 413153View attachment 413154View attachment 413155View attachment 413156View attachment 413157View attachment 413158View attachment 413159

Tunashukuru kwa kuisaidia Polisi, hao jamaa wanne waliopo kwenye picha moja wadakwe fasta. Ikiwa huko kwenye mateso kutakosekana mtesaji naomba mnipe kazi kwa ajili ya huyo jamaa na hao washirika wake, wasipitaja kundi zima la hao majambazi nitalipa faini ya 7m

Naomba mniandalie vitu vifuatavyo, Jambia lenye makali pande zote mbili, visu vyakufanyia operation, sindano za kutobolea macho, mkasi wa kukatia utumbo na vinyama vidogovidogo, pilipili mwachaka/mbuzi zakusaga.
 
Aisee pale ni hatari, ukiwa pale usimwamini mtu kabisa wala ikiwezekana usisalimiane na mtu usiyemjua pale!
Ukipita pale kwa miguu au ukiwa unasubiri usafiri inabidi uwe na machale!
Ukiona kuna mtu anakusalimia kaa nae mbali angalia nyuma na mbele, kushoto na kulia kwa tahadhari maana hivyo vishetani vinakuwa vimeshakusoma, na some time unaweza kuchukua tahadhari lakini kwa kuwa vinajua hupati msaada vinakukaba!, na hapo ndipo tatizo lilipo...
Usalama pale hakuna, polisi jamii sujui wanafanya kazi gani!
Pale kituo cha polisi kipo karibu lakini uhalifu unafanyika sana pale!
Kuna nini kipo nyuma ya hayo matukio, hivi kweli kituo cha polisi sehemu kilipo inawezekanaje matukio ya kihalifu kutokea pale!
Ni mengi sana yanatokea ila hayaripotiwi kwenye vyombo vya habari!
Duuuh aiseee, Aksante kwa tahadhari mkuu.
 
Scorpion ni mhalifu hatari ambaye amekuwa akifanya mambo mengi ya kinyama kwa watu na mali zao eneo la Buguruni na maeneo mengi ya jijini Dar na Tanzania kwa ujumla.

Wiki iliyopita alifanya tukio la kinyama la kumtoa macho mpita njia maeneo ya Buguruni na wananchi wakawa wanaogopa hata kusaidia, ila inaonesha ana genge kubwa analoshirikiana kufanya huu unyama na ndio mana anapata jeuri ya kufanya unyama wa kutisha mbele za watu bila kuogopa.

Hivyo tunamuomba Waziri wa mambo ya Ndani Mh Mwigulu Lameck Nchemba, IGP Ernest Mangu na Idara yote ya usalama wa taifa wafuatilie vizuri mizizi ya huyu mtu na kuing'oa hiyo mizizi, ili kuweza kuwalinda watanzania na watu hatari kama hawa.

Kingine ni kuiomba serikali itoe adhabu kali kwa huyu muuaji scorpion ili pia iwe fundisho kwa wenzake waliopo mtaani.

Hizi ni baadhi za picha za muuaji scorpion na aina ya maisha yakeView attachment 413152View attachment 413153View attachment 413154View attachment 413155View attachment 413156View attachment 413157View attachment 413158View attachment 413159
Wenye kumjua wanasema etii, hapo mitaa ya buguruni ilishawahi kutokea unyang'anyi wa vibaka dhidi ya mjomba wake, yeye kwa historia fupi amefunzwa taekondu na ameshiriki kwenye hilo shindano la dume kondom, hicho anachofanya ni kulipiza kisasi kwa vibaka waliompora mjomba wake na kumvunja mikono, bahati mbaya wenyeji wa eneo la buguruni walimlengesha kwa makusudi huyo jamaa alietobolewa macho kwamba ni mmoja ya waliompora mjomba wa jamaa.
 
Huyu kijana ndio amewahi kushiriki shindano la dume challenge chini ya dume condom??

Kama ndio,basi ipo sababu ya kuwakamata wale waliokuwa washiriki wenzake wote kwa uchunguzi zaidi..

Cc. Mwigulu&Makonda
Kwamba shindano lilikua la wahalifu au?
 
Back
Top Bottom