sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
Hahahua wana tabia moja hawa viumbe endapo mwenzao akifanya mawindo pekee ake na kula mwenyewe basi sharti afute damu zitakazo bakia mdomoni vinginevyo akird kundini na wenzie kumuona na damu mdomon basi watamuhesabu ni msaliti na kuuwawa alafu watamfanya kitoweo chao
So fisi wanachukia sana usaliti mpaka wanaamua kumuua msaliti na kumla nyama.