Mjue mnyama fisi

Mjue mnyama fisi

Hapo kwenye jinsia mbili utoto tulikwa tuna danganyana fisi atakae muwahi mwenzake ndie anageuka kuwa jike, kumbe Niki nanii
 
Bila shaka mtaalamu utakuwa umepitia pale MWEKA.
 
Ni ngumu sana mtu kuamini kama kuna umuhimu wa jujifunza kuhusu kujihami na kutumia mbinu hizo mbalimbali za kujilinda na fisi kwa sababu haingii akilini kwa mtu kwamba kuna siku atakutana na fisi katika mazingira hatari. Ndugu usishangae inawezekana kabisa. Mimi niliwahi kusafirisha msiba tukapita Ngorongoro lakini huko mbele ya safari tukapotea njia humo porini ghafla gari ikashindwa kupandisha milima usiku na mvua inanyesha ikabidi baadhi tutembee kwa miguuu ilikuwa hatari sana na hakuna gari iliyo karibu. Dereva alivyoona gari inapanda-panda kwa kuwa nyepesi sijui kajisahau kavuta mafuta tunakimbiza gari mpaka gari ikapotea kabisa kwenye kona kona za mlima kaenda kutusubiri huko juu. Ilikuwa hatari sana maana tulikutana na gari moja inashuka jamaa katuambia ili eneo ni hatari sana kuna mtu aliuwawa na simba mwaka jana hapa mlimani tusifanye mzaha kabisa au vipi turudi nyuma getini tujipange upya.
 
Fisi dume fala Sana... Au wanakuwa viben10 kwa fisi jike?

Sikwakuonewa huku..
 
Nishawahi ona sehemu wameuana kisha yule aliyeua akaanza kumla mwenzake hii imekaaje Mkuu.

Sababu hujaongelea kama wanatabia ya kulana nyama wao kwa wao?
 
Nishawahi ona sehemu wameuana kisha yule aliyeua akaanza kumla mwenzake hii imekaaje Mkuu.

Sababu hujaongelea kama wanatabia ya kulana nyama wao kwa wao?
hua wana tabia moja hawa viumbe endapo mwenzao akifanya mawindo pekee ake na kula mwenyewe basi sharti afute damu zitakazo bakia mdomoni vinginevyo akird kundini na wenzie kumuona na damu mdomon basi watamuhesabu ni msaliti na kuuwawa alafu watamfanya kitoweo chao
 
Ni ngumu sana mtu kuamini kama kuna umuhimu wa jujifunza kuhusu kujihami na kutumia mbinu hizo mbalimbali za kujilinda na fisi kwa sababu haingii akilini kwa mtu kwamba kuna siku atakutana na fisi katika mazingira hatari. Ndugu usishangae inawezekana kabisa. Mimi niliwahi kusafirisha msiba tukapita Ngorongoro lakini huko mbele ya safari tukapotea njia humo porini ghafla gari ikashindwa kupandisha milima usiku na mvua inanyesha ikabidi baadhi tutembee kwa miguuu ilikuwa hatari sana na hakuna gari iliyo karibu. Dereva alivyoona gari inapanda-panda kwa kuwa nyepesi sijui kajisahau kavuta mafuta tunakimbiza gari mpaka gari ikapotea kabisa kwenye kona kona za mlima kaenda kutusubiri huko juu. Ilikuwa hatari sana maana tulikutana na gari moja inashuka jamaa katuambia ili eneo ni hatari sana kuna mtu aliuwawa na simba mwaka jana hapa mlimani tusifanye mzaha kabisa au vipi turudi nyuma getini tujipange upya.
omba tu pindi utakapo kutana nae basi na awe mmoja wakiwa zaidi ya hapo jihesabu ni kitoweo chao
 
Mtoto wa fisi akizaliwa tu hapohapo anaanza kula nyama!
Fisi ni mnyama mwenye madini ya calcium mengi kuliko kiumbe chochote duniani.hiyo ni sababu ya kula mifupa sana.hyena has a powerful jaws ambayo hakuna mfupa wala kucha asiyoweza kuitafuna!fisi humtegemea sana tai(vultures)akiona wakiranda juu hujua pale kuna mzoga.ile fake penis ya fisi jike ni clitoris(kisimi)pale dume akimkaribia basi fisi jike huinua mguu mmoja juu kumuonyesha dume kwamba mi ni kidume mwenzio na kumtisha asisogelee vinginevyo atampiga pumbu
 
Fisi ana galbladder(nyongo)kali inayoweza kudigest chochote isipokuwa nywele tu.hivyo akila ngozi ya mnyama baadae hutapika zile nywele kwa mfano wa mpira.uwindaji wa fisi unaitwa exxaustation yaani humkimbiza mnyama hadi achoke huku wakimnyofoa viungo kimojakimoja.tofauti na simba au chui ambao huvizia kuvamia kisha kumkaba mnyama(stalker ambushers & suffocation).fisi waliopo chini ya jangwa la sahara ndio wakubwa na wakiitwa CROCUTA CROCUTA(LAUGHING HYENAS)
 
Back
Top Bottom