Mjue mnyama fisi

Hizo sifa zinafanana sana na walizonazo wanachama wa nyinyiemu.
 
Kanda ya ziwa Fisi wanaongoza kwa matukio sasa sijui kuna mbuga ya Fisi tu
 
Nimejifunza kupitia uzi huuu..

Mungu aendelee kukupa nguvu ya mutupa mafunuo mbalimbali...

Binafsi napenda sana story na kuangalia move za wanyama..

Ukipata nafasi naomba utueleze kwann katika wanyama wote, mbwa akiwa anajamiana huwa ni tofauti na wanyama wengine, nazungumzia tendo lao la kustuck....

Hichi kitu huwa kinaniumiza kichwa mpka leo, nataman ningesoma mambo ya wanyama nifanye tafit katika hili
 
sawa mkuu tuombe uzima tu
 
Ni bora kupoteza muda kumjua mnyama kitimoto kuliko huyo fisi wako.
 
Mkuu kuna moja linanitatiza mpaka leo. Hii ya Fisi kutoa kinyesi pale anaposhituliwa lina ukweli? Nauliza hivyo kwa sababu katika documentary zote nilizoangalia na kumfuatilia mnyama huyu sijakutana nayo hii. Sasa naomba kama kuna mwenye video ya Fisi akiharisha aitume japo nijiridhishe.
 


Fisi na nguruwe ni jamii moja kwa kula mizoga. (Scavengers). Tena watu waliowahi kula nyama ya fisi na nguruwe wanasema nyama ya fisi ni tamu sana kuliko nyama ya nguruwe.
 
Ongeza na ili: Fisi ana Strong bite kuliko Simba.
Na zaidi ikiwa ni jambo la kuhepukika ukaambiwa uchague kukuta nala fisi ama simba chagua fisi uenda ukapona katika kukabiliana nae.
Ila kama sio jambo la kuhepukika Chagua ukutane na Simba sio fisi.
Simba atakuua kwanza ndiyo akule ila fisi utumbo unakutoka uku unaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…