Mjue Mende

Mjue Mende

Hiyo namba sita nina mashaka nayo kha!! Bila kichwa alafu aishi wiki mbili?![emoji30] [emoji27]
 
6&9 6&96&
6&9 6&9 6&9
6&9 6&9 6&9
6&9 6&9 6&9
6&9 6&9 6&9
6&96&9 6&9




6&9 6&9 6&9
6&9 6&9
6&9 6&9
6&9 6&9
6&9 6&9
6&9 6&9
6&9 6&9
6&9 6&9
 
Ongeza...
Mende ana style nzuri ya kulala anapokufa, iliyoigwa binadamu kama style ya starehe
 
View attachment 836098
Mjue Mende

1.Ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote. Wana uwezo wa kuishi katika mazingira magumu. Aina moja kwa jina Eublaberus posticus wanaweza kuishi mwaka mmoja kwa kunywa maji pekee.

2.Ni mdudu anayeweza kuishi wiki mbili bila ya kunywa maji.

3.Wakati moyo wa mwanadamu ni mmoja wenye chemba nne mende ana moyo mmoja wenye chemba kumi na tatu.

4.Baadhi ya mende wa kike hawaitaji wanaume kuweza kuzalisha mayai hupandana wao kwa wao na kutaga mayai katika kipindi chote cha maisha yao.

5.Mende ana uwezo wa kukaa kwa zaidi ya dakika 40 bila ya kupumua.

6.Mende ana uwezo wa kuishi zaidi ya wiki mbili akiwa amekatwa kichwa.

7.Ana uwezo wa zaidi ya mara 15 ya binadamu wa kuzuia miale mikali ya nuklia isimdhuru na kubaki hai.

8.Mende ni mdudu asiye na mapafu.

9.Ana uwezo wa kuruka maili 3 kwa saa.

10. Badala ya kuwachukia, wanasayansi huwafurahia sana na kuwatumia kwa manufaa ya binadamu. Mwaka 1999, mende walitumiwa na Prof Robert Full katika Chuo Kikuu cha California, Berkley, kumpa wazo la kuunda roboti ya miguu sita iliyosonga upesi na kwa urahisi.

11. Mende wanatumiwa pia katika matibabu. Wanasayansi kwa miaka mingi wamekuwa wakishangazwa na uwezo wa mende kukaa muda mrefu maeneo yenye sumu na uchafu bila kudhurika.
Wamegundua kwamba huwa wanatoa kemikali za kupigana na sumu. Leo katika hospitali Uchina, krimu inayotengenezwa kwa kutumia ungaunga wa mende waliosiagwa hutumiwa kutibu vidonda vya moto na pia humezwa kutibu vidonda vya tumbo.
Mkuu; Labda hiyo Na. 11 inaweza kutuhusu.Lakini zote zilizobaki sioni kama zina mashiko kwetu.Hebu tazama madhara kwa binadamu yasababishwayo na mende hususan anapokuwa kwenye makazi/nyumba zetu tunamoishi:
1. Ni kero kubwa kwani wanaingia kwenye makabati, kwenye chakula, vyooni, anaweza kukutambalia n.k.
2.Mende, kutokana na tabia yake anachafua vyakula,anachafua na kutafuna nguo na karatasi,anaweza kukuaibisha pale anapokatiza ukiwa na wageni maarufu nyumbani n.k.
3.Anaharibu vitu vya thamani e.g. anaingia kwenye redio, friji, tv,computer na anakunya humo-humo
4.Hung'ata na kuweza kusababisha vidonda na vipele(esp kwa watoto wadogo)
5.Huweza kuingia kwenye matundu ya asili(pua na masikio) na kusababisha madhara makubwa na gharama ya matibabu.
6.Kwa tabia yake (anakunya na kutapikia kwenye chakula) mende husambaza vimelea vya magonjwa hatari e.g. husambaza bacteria aitwaye Pseudomonas aureginosa ambaye ni sugu sana kwa dawa nyingi za antibiotics. Bacteria huyo husababisha magonjwa sugu ya tumbo na majipu.Tena mende husambaza bacteria jamii ya salmonella anayesababisha sumu ya chakula - food poisoning (Salmonellosis).
7.Kutokana na harufu ya kinyesi na mate/matapishi yake ndani ya nyumba au kwenye nguo au makaratasi husababisha Allergy na Athsma kwa watu ambao ni wahanga (Vulnarable) wa magonjwa hayo.
# Kwa ufupi mende hana faida zaidi ya hasara kwetu. UKIMWONA MFYAGILIE MBALI.
 
5&6 umetufunga kamba aisee! Hasa 6. Unless kama chai maalum kwaajili ya kuiaga hii siku ambayo haitokaa ijirudie kamwe
unlike humans, cockroaches have an open circulatory system. They don't have a huge network of blood vessels like that of humans, or tiny capillaries that you need a lot of pressure to flow blood through. Hence after you cut their heads off, very often their necks would seal off just by clotting.

cockroaches also breathe through spiracles, or little holes in each body segment. Plus, the roach brain does not control this breathing and blood does not carry oxygen throughout the body. Rather, the spiracles pipe air directly to tissues through a set of tubes called tracheae. In addition cockroaches are poikilotherms, or cold-blooded, meaning they need much less food than humans do. Hence cockroaches can survive decapitation.
 
4. Nimegundua kumbe mende ni wasagaji....tehteehh
 
Baada ya kusoma kichwa cha habari mawazo yalienda mbali kidogo ila nashukuru nimerudi salama..
Samahan sana ndugu mpostiji
 
Back
Top Bottom