Mjue mbilia bel

Mjue mbilia bel

...kuna watu wanasauti tamu, ila huyu mama kiboko aisee...
DRC kuna balaa kubwa kuhsu sauti za kina mama-kama huamini ingia youtube halafu mtafute Cindy Le Coure wa Mopao na mwimbo wake mpya, mtafute MJ30 ( alikuzwa kimuziki na Mama national Tshala Muana) na kama haitoshi mtafute Diva Barbara Kanam na moja ya nyimbo alizoimba ni ya Mwenda John Bosko wa Bayeke "Cherie Mupenzi". Wako wengine zaidi lakini hawa watatu wako juu.
 
Mbilia Bel alifunga harusi na marehemu tabu ley 1987 kwenye ndege,lakini ndoa yao haikudumu waliachana
Masiya
Lucas Mobutu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa za Ma-super stars ngumu sana. Tabu Ley alipomleta Faya Tess, Mbilia akadhani mzee atammendea na mambo yakaharibika. Nasikia lililofuatia ni Ley kumfumania Mbilia akiwa na Rigo Star na ndoa ikafa rasmi.
 
Hahaha tabu ley nae alikuwa hatari Hadi anafariki alikuwa na watoto 68

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Palikuwa na chuma kingine cha kuitwa FAYA TESS palikuwa pa moto hapo waqt huo
 
Back
Top Bottom