Mjue Mastermind wa Al Shabaab

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,677
71,034
Gaas-s-1132x670.jpg

Huyu jamaa anafedha kweli kweli na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
Morgan2.jpg

Mtaalam wake wa mambo ya Vilipuzi na Mpelelezi wake mkuu ni huyu Mohammed Harshi.
Huyu jamaa husimamia na kufuatulia misheni zote ili kwamba ahakikishe maximum demage imefanyika.
 
View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Binadam huwa hatupendi kukumbuka mambo ambayo yana ukakasi. Inawezekana pengine ndiyo hulka yetu.
Hivi sasa tunawazungumzia sana Al Shabaab lakini hatuzungumzi chanzo cha uwepo wao.
Hivi ilikuwaje nchi kama Somalia ambayo ilikuwa inaendesha mambo yake kufuata demokrasia inayoambatana mila na desturi zao?
Ni kweli kuwa wanayoyafanya Al Shabaab[ Vijana wa shoka] hayapendezi ,hayafai na siyo ya kibinadam kabisa. Lakini, chanzo cha haya yote ni kitu gani???.
Nadhani namna bora ya kuelewa hali hii ya kiwenda wazimu ni kuchambua chanzo halisi cha aibu hii.
 
View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
Biashara zake kwa Tanzania ni kupitia kampuni zipi?
 
View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
Hizi sehemu za wasomali zichunguzwe
Nmeona zambia ndola na kabwe kna wasonjo wengi Wana miradi
Kenya isli ndy usiseme pale kama mko Mogadishu
Kko dar Somali street kuna wasomali kibao wengine hata lugha hawajui ni Sawa na kama kaingia dar tz juzi tu
Utakuta hpo kna lijitu linajifanya lina mradi
Kmbe na pia anachezesha mipango ya alshabab

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 997080

Hivi na hili bado lipo hai au wa Kenya ama wamarekani walishapasua kichwa chake na kumuwahisha moja kwa moja FIRDAUS Kwenda kuwashugulikia wale mabikira? maana siku hizi yale mavideo yake ya kijinga siyaoni mtandaoni

Huyu mbwa ni falla sana,halafu anaongea utadhani ni jambo la maana sana na la faida analoongelea,ananikumbusha yule wa tz aliyejirokodi kwa madaha akaanza kutukana polisi na kuidhihaki,akidhania yuko somalia kwa wapuuzi wenzie akaliwa kichwa fasta kabla hajapoa.
 
Hizi sehemu za wasomali zichunguzwe
Nmeona zambia ndola na kabwe kna wasonjo wengi Wana miradi
Kenya isli ndy usiseme pale kama mko Mogadishu
Kko dar Somali street kuna wasomali kibao wengine hata lugha hawajui ni Sawa na kama kaingia dar tz juzi tu
Utakuta hpo kna lijitu linajifanya lina mradi
Kmbe na pia anachezesha mipango ya alshabab

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisema hivyo waanze na Kinana na Bashe ila Maafsaa wetu waache Kupiga risasi Upinzani wajikite kwenye mambo kama haya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom