Mjue kiumbe aina ya Sisimizi

Hovyoo kabisa, sasa umetujuza au umetuuliza,
 
Hiyo title haiendani na maudhui
.
[Huko ndo kufeli kwa mwandishi]
 
We nawe! Nikadhani unadadavua kuhusu sisimizi kumbe unauliza tena swali?
Mwenyewe nilidhani kama ulivyodhani...
Jamaa mpuuzi kweli kweli...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu nilidhani una dadavua kuhusu huyo sisimizi,kumbe unauliza swali!..???
 
Binadamu tungekuwa na umoja kama hawa viumbe tungefika mbali sana . Kakichwa ka sisimizi kaduchu , ubongo unakaa wapi ?
 
Nimepoteza muda kusoma huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…