Matendo yake ndio yanayofanya watu wamdhalau. Hata kama una vyeti vimejaa briefcase kama unashindwa kuishi nje ya payroll ya serikali wewe ni hopeless. Kawadhalilisha wazazi wake masikiniKwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo.
Machapisho yake hayajasaidia kumuondoa katika utumwa wa "white collar job" sanasana yamemsaidia kupata vyeti ambayo hata hivyo ameshindwa kuvitumia kuwaonesha wananchi tofauti ya kusoma na kuhudhulia shule.Dr. Rutengwe ni GURU la kimataifa ana machapisho katika majarida ya kimataifa, hiv hapo alipo anaweza kupata kazi UN mkabaki kutoa macho. Ile ilikuwa kauli ya kisiasa ili kumpaisha mkulu.
Unampaisha wakati wwe unadhihakiwa. Candle love unawamulikia wenzio wakati wwe unateketeaDr. Rutengwe ni GURU la kimataifa ana machapisho katika majarida ya kimataifa, hiv hapo alipo anaweza kupata kazi UN mkabaki kutoa macho. Ile ilikuwa kauli ya kisiasa ili kumpaisha mkulu.
huna lolote mkuu ! huyu Rajabu Rutengwe aliokotwa na Jk katika ule mpango wa kuhakikisha vijana wa mkoa wa Pwani wale wenye elimu za makaratasi wanapewa madaraka hata kama hawakuwa na uwezo wowote , ilikuwa ni mpango wa kufaidi matunda ya rais wa nyumbani , hapa wamo pia akina Shukuru kawambwa na Dr Seif Rashid wa REDCROSS ambaye alikuwa waziri wa afya , unamkumbuka Ramadhan Maneno aliyebwagwa kwenye ubunge anayesemekana kuwa na elimu ya msingi aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ? huu ulikuwa ni mpango wa kizamani unaoitwa " SASA NI ZAMU YETU " vinginevyo Dr Rajab ambaye baba yake Mzee Rutengwe alikuwa ofisa wa bandari miaka iliyopita hana uwezo wa kubuni chochote , na kile kilio ndio uhalisi wa mambo .Dr. Rutengwe ni GURU la kimataifa ana machapisho katika majarida ya kimataifa, hiv hapo alipo anaweza kupata kazi UN mkabaki kutoa macho. Ile ilikuwa kauli ya kisiasa ili kumpaisha mkulu.
Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo.
Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo.
Yupo kijiji gani hicho tukajifunze katika shamba lake hilo.Kila nikijalibu kuiangalia hutuba yake na ukweli huu sipati jibu kabisaaaa. "Mh. Dkt. Rutengwe pamoja na majukumu yake ya uongozi katika ukuu wa mkoa ni mkulima mzuri kwani shamba lake lina ukubwa wa hekari 15 na amepanda mazao mbalimbali yakiwemo Maembe, Mananasi, Mapapai Michungwa, mikorosho na pia anaendesha ufuganji wa nyuki na kuku jambo ambalo limekuwa mfano kwa wakazi wa kijiji.
Mh. Dkt. Rutengwe anasema kwa kweli hawezi kununua kiwanja ambacho hakina eneo la kilimo kwani ukulima kwake ni jambo muhimu sana na ndiyo maana aliamua kuanzisha kilimo cha kisasa katika kijiji hicho kwa kupanda mazao mbalimbali kitu ambacho kimemfanya kuwa mkulima wa mfano katika kijiji chetu."
Kumbe na wewe mwenyewe ni manyaunyau; mtu "Guru", kama unavyotaka tuamini anawezaje kulialia kwa kuachwa ukuu wa mkoa; kwani alisomea ukuu wa mkoa? Kama ni hivyo basi alipata Parmanent head Damage; Phd.!!?Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo.
Yupo kijiji gani hicho tukajifunze katika shamba lake hilo.
kumbe alipata cheo sababu anatoka kata moja na mh mstaafu....shamba la Mh. Dkt. Rajab Rutengwe liko huko Bagamoyo Mkoani Pwani katika kijiji cha Mboga mbele kidogo ya kijiji cha Msoga nyumbani kwa Mh. Rais Jakaya Kikwete