Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 247
- 557
Anataka kuchomoka madeni?Mjomba yangu ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu. mke wake kaweka nyumba rehani baada ya kuchukua mkopo wa million kum.nakushindwa kulipa na nyumba kupigwa mnada na vitu vingi.
samahan nimesahau n ba mdogoKivipi ndugu wa baba awe mjomba kwako?
Nimerudia kumsoma mara 2 2 nikahisi kakosea.Kivipi ndugu wa baba awe mjomba kwako?
Baba yangu mdogo ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu. mke wake kaweka nyumba rehani baada ya kuchukua mkopo wa million kum.nakushindwa kulipa na nyumba kupigwa mnada na vitu vingi.
Pole zakeBaba yangu mdogo ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu. mke wake kaweka nyumba rehani baada ya kuchukua mkopo wa million kum.nakushindwa kulipa na nyumba kupigwa mnada na vitu vingi.