Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Inasemekana mjomba wako kaua milion 12

The bloodthirty man ever happened
 
Na akili yako ya kisoda hukutakiwa kuwepo kwene huu uzi!!
Huu n kwa ajili ya wanazooni na wafatiliaji wa mambo ya great lake region
 
Itachukua muda kwa waswahili ku retalliate !!
Saizi nchi ikp corrupted no displine

lakini akiyakanyaga tunatua kigali
 
Mamaangu anatokea kwa watu warefu tena alivyokua anampenda mtu mrefu sass yani mseme vibaya mnuno siku nzima watu warefu wana sifa na misimamo yao. Baba ye katokea kwa watu wafupi hana mambo mengi though wote wamefariki tumebaki ukimbizini.
 
Duuuh pole sana dada mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…