Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Blood thirsty tyrant...mwambie mjomba ako kuna namna haelewi waswahili....tutazama mpaka manta..amuulize mzee buyoya...mjomba ako hajai mkononi...
Command ya tabora itamtosha mjomba...wala hatuwaita vichaa wa monduli...bangi lori mbili...hatutawasumbua mabroo wa morogoro...wala kuwajulisha marafiki wa kigamboni..
Wale machalii wa msata hatuthubutu maana watamvua nguo kama yule raisi wa africa magharibi...mwambie mjomba muda umeisha
 
Unanitisha jirani 🤣🤣🤣🤣
 
Najiuliza kwa sauti, kama mjomba wako hapendi watu wafupi, je ni kwa nini yule memba machachari "popoma" hua anapenda kujigamba kua katokea kwa mjomba wako?
Kumbe angekua kule wangekua washakula kichwa kitambo??
Popoma 🤣🤣🤣
 
Nimekuelewa vzr hasa pale uliposema wajomba waliokimbia sasa watoto wamekuq na wanataka kurudi nyumbani
 
huyo muda wake wa kuishi ni mdogo sana. sheteni mwembamba anayetembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…