Hapa ndio umesamalaiz???Ngoja ni samaraizi kwa kiswahili.
Jamaa ana mjomba wake alikuwa fundi kushona nguo kiwandani huko Kenya sasa katika harakati za maisha akaanza kuchelewa nyumbani, kutokula chakula cha mke wake na maisha yake na familia kuanza kuwa magumu, wanaukoo wakasanuka nakuanza kumfuatilia kimyakimya.
Ile paap wapelelezi wa ukoo wakaja kugundua mwamba anaslay queen pande za Majengo ambapo alikuwa anakula misosi ya mtaani na kujichana na huyo malaya wake yaani ile full kujiachia kula minyama, sambusa, supu ya utumbo, pombe za kienyeji za bei chee na hiyo mbususu ya kununua.
Wanaukoo wakamuita mwamba ile kiume peke yake bila mke wake kufahamu, jamaa wakamchana oyaa mjomba unazingua kuna tabia mbovu umekuwa nayo hivisasa ya kupitia majengo kwa machanguduo unapokuwa unarudi nyumba hii tabia siyo mjomba unaweza kusababisha kuiua familia yako na magonjwa na sisi kama wanaukoo hatupo tayari hili kutokea.
Wanaukoo wakampa machaguzi mawaili mjomba amwache malaya pamoja na kuhama mtaa kuinusuru familia yake au wanaukoo wamwabie mke wake ili aondoke na kumuacha mjomba na changudua wake.
Mjomba akaona isiwe kesi akaamua kuachana na malaya pamoja na kuhama mtaa wa majengo mazima.
Ndio umemaliza braza???Jamaa ana mjomba wake alikuwa fundi kushona nguo kiwandani huko Kenya sasa katika harakati za maisha akaanza kuchelewa nyumbani, kutokula chakula cha mke wake na maisha yake na familia kuanza kuwa magumu, wanaukoo wakasanuka nakuanza kumfuatilia kimyakimya.
Ile paap wapelelezi wa ukoo wakaja kugundua mwamba anaslay queen pande za Majengo ambapo alikuwa anakula misosi ya mtaani na kujichana na huyo malaya wake yaani ile full kujiachia kula minyama, sambusa, supu ya utumbo, pombe za kienyeji za bei chee na hiyo mbususu ya kununua.
Wanaukoo wakamuita mwamba ile kiume peke yake bila mke wake kufahamu, jamaa wakamchana oyaa mjomba unazingua kuna tabia mbovu umekuwa nayo hivisasa ya kupitia majengo kwa machanguduo unapokuwa unarudi nyumba hii tabia siyo mjomba unaweza kusababisha kuiua familia yako na magonjwa na sisi kama wanaukoo hatupo tayari hili kutokea.
Wanaukoo wakampa machaguzi mawaili mjomba amwache malaya pamoja na kuhama mtaa kuinusuru familia yake au wanaukoo wamwabie mke wake ili aondoke na kumuacha mjomba na changudua wake.
Mjomba akaona isiwe kesi akaamua kuachana na malaya pamoja na kuhama mtaa wa majengo mazima.
Duuu!!!Unajua kuwa JF inakubali voice notes pia.
Kwa vile kipaji cha uandishi huna ungejirekodi hata sauti usimulie na kuweka hapa.
Hapo yupi ni mjomba na yupi ni kahaba kati ya sa100 na dipii welidi?Jamaa ana mjomba wake alikuwa fundi kushona nguo kiwandani huko Kenya sasa katika harakati za maisha akaanza kuchelewa nyumbani, kutokula chakula cha mke wake na maisha yake na familia kuanza kuwa magumu, wanaukoo wakasanuka nakuanza kumfuatilia kimyakimya.