Alimuoa mjombangu kakake mama yangu nikampa zawadi.Wasalaam,
Miaka 11 iliyopita siku kama ya leo, Mjomba Mrisho Mpoto aliachia kibao chake cha Nikipata Nauli ambacho kilitikisa sana mitaa mbali mbali akimshirikisha Banana Zorro. Reflecting this, kuna mistari imenigusa sana kwenye kibao hiki and nikaona kama mjomba alikuwa mbele ya muda. Mjomba kwenye verse ya 2 anasema,
"Eti wanaomba samahani,
watarudisha uhai wa waliopotea kwa uzembe wao?"
Mjomba alikuwa mbele ya muda even though alivyopata nauli akafika mjini, akatusahau mjomba. Kweli Maskini hana kiapo.
Kipande kipi cha mjomba unakikumbuka kwenye kibao cha Nikipata Nauli?
mchelea haki hatendi ukweli mjomba apo mbele akaongelea watu kujilimbikizia maliAkaongeza...Mjomba Life is not Rehearsal..it's performance
Mtafute sahivi, mkumbushie hiyo verse vp 😄Wasalaam,
Miaka 11 iliyopita siku kama ya leo, Mjomba Mrisho Mpoto aliachia kibao chake cha Nikipata Nauli ambacho kilitikisa sana mitaa mbali mbali akimshirikisha Banana Zorro. Reflecting this, kuna mistari imenigusa sana kwenye kibao hiki and nikaona kama mjomba alikuwa mbele ya muda. Mjomba kwenye verse ya 2 anasema,
"Eti wanaomba samahani,
watarudisha uhai wa waliopotea kwa uzembe wao?"
Mjomba alikuwa mbele ya muda even though alivyopata nauli akafika mjini, akatusahau mjomba. Kweli Maskini hana kiapo.
Kipande kipi cha mjomba unakikumbuka kwenye kibao cha Nikipata Nauli?
Ipo siku tutamkumbusha kuwa alishasema hili ila hakujua anaongelea ya sasaWasalaam,