Mjomba jitathmini upya, Urais si lele mama

Unamuasa R

Unamuasa Rais ajitathmini?? Hivi hayo uliyoandika hapo juu ni MALALAMIKO YAKO NA KUTOKURIDHIKA KWAKO au ni Ushauri wenye tija?? Mimi naona ni malalamiko tu ambayo hayana ushauri wowote wa maana. Unaona raha tu kuandika na kulalamika, hivi wewe binafsi umekua na mchango gani katika maendeleo ya nchi yako katika kipindi cha miezi 5 iliyopita??

punguza presha, kama karusha jiwe hebu we lete point kwa hilo, acheni maneno ya kwenye kanga

changia maada kama unazani kunamahari kakosea lekebisha kwa dondoo zilizo na mashiko

mwongo hana mbio ndefu ila ukweli kila mara unashinda.

kuonesha hasira na huku husemi chochote juu ya maada ni ujinga na upumbuvu wa kilofa

elimika
 
mie mzima najishangalia tu ya mjomba Magu.
BTW mfikishie salam mwambie hata wa ule ukanda uso wa dunia unapoinukia awakumbuke
Hahahahah Mjomba Magu naona yupo ulingoni... Kadiri dakika za mchezo zinavyozidi yoyoma anagundua si rahisi.....

Naukumbuka ule wimbo wa lucky Dube.... It's not easy......
 
It's just amatter of time, utakubaliana nae tu made magu n.a. kumpongeza kwani anadhamira njema n.a. taifa hili
 
punguza presha, kama karusha jiwe hebu we lete point kwa hilo, acheni maneno ya kwenye kanga

changia maada kama unazani kunamahari kakosea lekebisha kwa dondoo zilizo na mashiko

mwongo hana mbio ndefu ila ukweli kila mara unashinda.

kuonesha hasira na huku husemi chochote juu ya maada ni ujinga na upumbuvu wa kilofa

elimika
Mwambia Mbwiga huyo
 
Wacha vijana tuisome number eheeee ccm mbele kwa mbele.... Kwa tune ya kale kawimbo ketu.
 
Sionagi umuhimu wa mkuu wa mkoa wilaya zaidi ya vyeo vya kisiasa na kulipana fadhila tu. Tena anateua wastaafu vijana watapatia wapi ajira. Hyo ya kukamata vijana na kuwaambiwa wajiajiri mbona watoto wao wameajiriwa na wanaajiri wazee. Tanzania chini ya ccm kuendelea ni ndoto
 
Jaman Watanzania tumepata raisi mzuri Africa nzima wanaona juhudi zake.. Tumpe ushirikiano wa kutosha
Mtoa maada nimekuelewa lakini nikutoe wasiwasi tupo na dira nzuri tumpe muda raisi anachukia rushwa sana.. Tumwombee raisi amejipa kazi ngumu atapigwa hadi na chama chake

Endelea kuisubir serikali ikuletee maendeleo.

Magufuli hana tofauti na waliopita.
 
Unamuasa R

Unamuasa Rais ajitathmini?? Hivi hayo uliyoandika hapo juu ni MALALAMIKO YAKO NA KUTOKURIDHIKA KWAKO au ni Ushauri wenye tija?? Mimi naona ni malalamiko tu ambayo hayana ushauri wowote wa maana. Unaona raha tu kuandika na kulalamika, hivi wewe binafsi umekua na mchango gani katika maendeleo ya nchi yako katika kipindi cha miezi 5 iliyopita??

Una watoto wanne juma, hamisi, samia na hasani. Juma ana familia yenye jumla ya watu 3, ambao ndio wanamtegemea yeye, hamisi watu 4, samia 7 na hasani 12. wote wana kipato lakini vipato ambavyo si sawa. Na msaada wanaohitaji toka kwako ni tofauti. Juma yeye anahitaji kiasi fulani tu toka kwako ili aagize gari binafsi V8, Hamisi yeye anahitaji kiasi kidogo tu umjazie aende kuspend likizo yake na familia yake uengereza, samia yeye anahitaji kiasi fulani ili watoto waende shule (ada ya watoto) na hasani yeye anahitaji msaada wa chakula kwa ajili ya familia. Je utawezaje kuwasaidia juma na hamisi kwanza na kuwaacha samia na hasani? Haiwezekani.
Hicho ndicho anachokifanya magu.

Rais anafamilia ya namna hii.yani watanzania ambao kipato Chao ni kikubwa na wanajitosheleza, watanzania ambao kipato chao ni cha kati, watanzania ambao kipato chao ni kidogo na ambao kipato chao ni kidogo sana. Kuna kundi la wafanyabishara wakubwa, kuna kundi la vigogo wa serikali, kuna kundi la vijana ambao hawana ajira na kuna kundi la watanzania masikini sana. Ni kundi lipi linapaswa kuwekewa kipaumbele? Ni kundi lipi linahitaji msaada kwa haraka?

Hayo ndio maswali anapaswa kujihoji na kujitathimini ndugu mjomba. Sasa sijui ni malalamiko yangu au ni ushauri wangu kwake, labda ujitathimini pia utapata majibu.

Ninaishi Tanzania, kile ninachokipata, ndo hicho kinachukuliwa kwa jina la kodi na kuchangia maendeleo ya taifa langu ambayo ni ya kusadikika.
 
Katiba mpyaa ndio suluhisho

Katiba mpya si suluhisho.tulishaona kilichopatikana kwenye Bunge maalum la katiba kikaitwa katiba inayopendekwa sasa sjui kama kuna jipya pale ama kama kuna suluhisho...
 
Una watoto wanne juma, hamisi, samia na hasani. Juma ana familia yenye jumla ya watu 3, ambao ndio wanamtegemea yeye, hamisi watu 4, samia 7 na hasani 12. wote wana kipato lakini vipato ambavyo si sawa. Na msaada wanaohitaji toka kwako ni tofauti. Juma yeye anahitaji kiasi fulani tu toka kwako ili aagize gari binafsi V8, Hamisi yeye anahitaji kiasi kidogo tu umjazie aende kuspend likizo yake na familia yake uengereza, samia yeye anahitaji kiasi fulani ili watoto waende shule (ada ya watoto) na hasani yeye anahitaji msaada wa chakula kwa ajili ya familia. Je utawezaje kuwasaidia juma na hamisi kwanza na kuwaacha samia na hasani? Haiwezekani.
Hicho ndicho anachokifanya magu.

Rais anafamilia ya namna hii.yani watanzania ambao kipato Chao ni kikubwa na wanajitosheleza, watanzania ambao kipato chao ni cha kati, watanzania ambao kipato chao ni kidogo na ambao kipato chao ni kidogo sana. Kuna kundi la wafanyabishara wakubwa, kuna kundi la vigogo wa serikali, kuna kundi la vijana ambao hawana ajira na kuna kundi la watanzania masikini sana. Ni kundi lipi linapaswa kuwekewa kipaumbele? Ni kundi lipi linahitaji msaada kwa haraka?

Hayo ndio maswali anapaswa kujihoji na kujitathimini ndugu mjomba. Sasa sijui ni malalamiko yangu au ni ushauri wangu kwake, labda ujitathimini pia utapata majibu.

Ninaishi Tanzania, kile ninachokipata, ndo hicho kinachukuliwa kwa jina la kodi na kuchangia maendeleo ya taifa langu ambayo ni ya kusadikika.

mkuu nakuona upo sahihi tu kwa mtazamo chanya.

japokuwa kwa hizi nchi masikini na tajiri wa majungu na viongozi ambao wakipata tu dola ni ngumu kushaurika au kukaa na kujitathimini mienendo ya serikali na nchi zao, inakuwa ngumu sana kukuelewa.

japo una dondoo nzuri ambayo haina madhara kwa muelewa, maana mtu akuambiapo jitathimin nikama anakupenda hataki uangukie pabaya so anakupa muda wa kufikili kila unalofanya. huleta afya katika uongozi au maisha kwa ujumla.

ila mkuu tupo africa, mfano wewe unadhani ni rahisi kumwambia baba ako jitathimini? utaishia kuambiwa mtoto analaana huyu, hana heshima/anaviburi.

tuombe huyo mueshimiwa afanye anavyoweza kumantain nchi na atakapotoka aache angalau tunapumua kama walivyofanya watanguliizi wake.

mtazamo tu.
 
Jaman Watanzania tumepata raisi mzuri Africa nzima wanaona juhudi zake.. Tumpe ushirikiano wa kutosha
Mtoa maada nimekuelewa lakini nikutoe wasiwasi tupo na dira nzuri tumpe muda raisi anachukia rushwa sana.. Tumwombee raisi amejipa kazi ngumu atapigwa hadi na chama chake

Muda ndo kitu muhimu na cha msingi sana.lakini muda ndio huo ashapewa na bado dalili hazielekei kule kunakohitajika. Binafsi nitaendelea kusema hadi hapo nitakapoona neema...
 
punguza presha, kama karusha jiwe hebu we lete point kwa hilo, acheni maneno ya kwenye kanga

changia maada kama unazani kunamahari kakosea lekebisha kwa dondoo zilizo na mashiko

mwongo hana mbio ndefu ila ukweli kila mara unashinda.

kuonesha hasira na huku husemi chochote juu ya maada ni ujinga na upumbuvu wa kilofa

elimika
Kasomeni, sio mnalia lia tu .
 
Hatuna rais bali mkulima mmoja toka Chato huko basi.....sioni mabadiliko yoyote CCM Mazombi ni ileile
 
Back
Top Bottom