Vibaka 2 Walikuwa Wakimvizia Muhindi Aleingia Benki Kuchukua Hela, Wakati Mhindi Anatoka Na Fuko La Hela Mkononi, Kibaka m1 Akamvamia, Kumpiga Mtama Na Kukimbia Na Lile Fuko Huku Mwengine Akiwa Kabeba Kamera Akichukua Shooting, Walinzi Kuona Vile Wakaendelea Na Kazi Zao Wakijua Jamaa Wanaigiza Movie Kumbe Mtu Ndio Anaibiwa Hivyo, Chezea Town Wewe.
unataka kucheka zaidi go
here