Mjikumbushe Mzumbe High School

Hahahhahha....zungu,social...
...
Misana...platooo
 
Hii ni product ya msumbe?
 
Nimepitia hapo 1971 na kutoka 75, kweli JF mmejaa vijana mzumbe was a great school, na tabia ya kula bure IDM naona ipo bado, nimefurahi lakini
 
Umesomea mzumbe kweli?? Unaanzaje kuandika" munataja badala ya mnataja,munachotukumbusha badala ya mnachotukumbusha " mzumbe alumni hatuko HV...
 
Una kumbukumbu aisee,though nimegraduate miaka mitatu iliyopita ila nshaanza kusahau vingi,tuliishi katika hard transition period ya Mzumbe
 
Hivi bado ile tabia ya kukata kiu ipo?(kuburuza ndabuli usiku wa manane )...
 
Nami nawatafuta wazumbe Calvin Mwaja, Erick Nyakizee(Baba wa taifa la Adrian Mkoba na Mongola) Elton Libongi(Azoge the blind beggar), Samson Mwapwele, John Geselo, Stephen Andrew(Vladimir Khrushchev), Lusekello Swila
hahahaha....umenikubusha mbali san, Mongola na Adrian ndo ilikua mitaa ya Nyakizee ya kujidai
 
Ha ha ha!
Umetisha Mkuu!
 
Nami nawatafuta wazumbe Calvin Mwaja, Erick Nyakizee(Baba wa taifa la Adrian Mkoba na Mongola) Elton Libongi(Azoge the blind beggar), Samson Mwapwele, John Geselo, Stephen Andrew(Vladimir Khrushchev), Lusekello Swila
John Geselo aliyemaliza Azania ambaye kwa sasa ni mjeda ,namba yake ninayo , ni pm yako .
 
Mimi nilitamani kusoma mzumbe sema nilipata four form four ndoto zikayeyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…