Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Duh, hivi Shema yupo wapi? nilikaa nae pale Mkwawa namba mbili hahaha loooooooooooooooooongtime, jamaa alimaliza form six mie nikiwa form one first term (1991)...was a very nice guy, mgosi wa kaya mwenzangu na alinipa michongo ya ku-survive pale Uzumbeni.
Yap, darasa moja form 1-4!! Tabu mara ya mwisho nilimuona Mwanza mtaa wa Uhuru na rafiki yake Seba wapo njwiiiiii (hiyo ilikuwa mitaa ya 1997)......zaidi ya hapo sina ze dataz!!
Babu, na mimi nipo ktk hilo kundi Mtweve, MD. wanaomkumbuka MOHAMED KISERA, naomba unipe kontakti zake plse. Nimepanga vakesheni ya kwenda kutembea MZUMBE wiki ya pili ya Decemba, na nitatembelea pia sehemu niliyokuwa nazamia msosi pale IDM.
Mkuu kama mimi ningepata hayo ma D basi nadhani Tanzania nzima ni wachache mno ambao wangepata hata F kama si -F,mimi ni mwana mzumbe mmojawapo na mkeleketwa mmoja,ila huwa napenda kusema ukweli pale kwenye ukweli,sasa kama kila shule italeta tujikumbushe si JF yote itajaa Tujikumbushe??(Nadhani umeshaona kazi iliyoanza)Sawa, watu wanajaribu ku-socialize, huwezi kuanza from nowhere thread imeanzishwa hapo hapo mmeanza kuongelea proteonomics! Una point kidogo lakini chuki binafsi imekuzidi- kama 'ulifeli' shauri zako na makarai au ma-D yako.
Well well man wangu.......ma TO nawaona ovyoo sana kazi hawajui material hamna kichwani i could say that walikuwa wanakariri as Wibonele(nimem miss Wibo) alivyowalikishia pepa......Nani asiyejua mzumbe wanapewa pepa(maswali) kabla ya mtihani.Kuna To mmoja nilienda nae sehemu fulani alikimbia akarudi Bongo kwenye elimu ya kukariri.Munaboa,ili mrabi mimi ni member mzuri wa mzumbe lakini siwaungi mkono kwa maana hakuna cha maana munachotukumbusha,hata Afande sele alisema mwimbo gani munatajataja majina munachoongea hakina maana,kama munataka mambo ya maana fanyeni mavituzi ili ije siku watu wakisikia then waseme hawa ndio wazumbe.
Tatizo elimu ya Tanzania ilikaa kwa kubebabeba mno ndio maana hao watu waliotokea huko Mzumbe,Ilboru,kibaa na kwingineko huku sioni cha maana wanachokifanya.
Jamani elimu sio kufaulu au kuwa TO bali ni nini unakifanya,Nimekaa mzumbe na ninawajua wazumbe ambao walikuwa vipanga ila sasa sioni wanachokifanya especialy wale walioenda nje sehemu ambazo watu wanapima kipaji sio ukaliliji wa pepa za Mungai ambazo wibo tayari kashalikisha 80%.
Nakumbuka kipindi tunamaliza kuna ile kumi bora yetu ya kitaifa,hao watu waliochukua kumi bora,jamani...Elimu ya Tanzania bado ni tete na imekaa kubeba mno.
Naomba watupe kamuda kadoogo mno tuje tuprove kuwa sio wote walioko special ni vichwa bali ni idadi ndogo mno kati yao.
Kumbuka tunaposema Special student tunahitaji ubunifu na si kiwango cha kubeba na kuja kushusha kwenye mtihani.
watu kukumbuka good old days sio vibayaa. mimi sikusoma Mzumbe ila kuna washkaji zangu wa karibu niliokutana nao high school waliotokea Mzumbe walikuwa good people na wanasimulia kwamba wali-have fun sana huko, sasa kama wewe hayo yalikuwa yanakupita acha ku-hate. Kusimuliana yaliyopita sii mbaya na kila mtu anapambana na future kivyake, whether ka-make it or not yote maisha.Munaboa,ili mrabi mimi ni member mzuri wa mzumbe lakini siwaungi mkono kwa maana hakuna cha maana munachotukumbusha,hata Afande sele alisema mwimbo gani munatajataja majina munachoongea hakina maana,kama munataka mambo ya maana fanyeni mavituzi ili ije siku watu wakisikia then waseme hawa ndio wazumbe.
Tatizo elimu ya Tanzania ilikaa kwa kubebabeba mno ndio maana hao watu waliotokea huko Mzumbe,Ilboru,kibaa na kwingineko huku sioni cha maana wanachokifanya.
Jamani elimu sio kufaulu au kuwa TO bali ni nini unakifanya,Nimekaa mzumbe na ninawajua wazumbe ambao walikuwa vipanga ila sasa sioni wanachokifanya especialy wale walioenda nje sehemu ambazo watu wanapima kipaji sio ukaliliji wa pepa za Mungai ambazo wibo tayari kashalikisha 80%.
Nakumbuka kipindi tunamaliza kuna ile kumi bora yetu ya kitaifa,hao watu waliochukua kumi bora,jamani...Elimu ya Tanzania bado ni tete na imekaa kubeba mno.
Naomba watupe kamuda kadoogo mno tuje tuprove kuwa sio wote walioko special ni vichwa bali ni idadi ndogo mno kati yao.
Kumbuka tunaposema Special student tunahitaji ubunifu na si kiwango cha kubeba na kuja kushusha kwenye mtihani.
mi nipo kusini karibu na MOZAMBIQUE nahudumia wapiga kuraee bwana uko wapi siku hizi wewe?
watu kukumbuka good old days sio vibayaa. mimi sikusoma Mzumbe ila kuna washkaji zangu wa karibu niliokutana nao high school waliotokea Mzumbe walikuwa good people na wanasimulia kwamba wali-have fun sana huko, sasa kama wewe hayo yalikuwa yanakupita acha ku-hate. Kusimuliana yaliyopita sii mbaya na kila mtu anapambana na future kivyake, whether ka-make it or not yote maisha.