mji unaotaka kujengwa kigamboni ukajengwe kigoma,maana kikwete alisema kigoma itakuwa dubeiBaada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.
Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv
Ngug yangu Lingusenguse nadhani wewe hujatuelewa wananchi wa Kigamboni, hatupingi mji mpya wa maendeleo ya mji, ila je serikali yetu itaweza, wametusimamisha kwa muda wa miaka 3, badala waje na kwa nini wameshindwa kufanya kitu kwa muda wote huo ndio kwanza wanaongeza eneo, hapo ww unaona sawa? Ferry pale kila siku magari yanagongana kutokana na ufinyu wa eneo, kwa nini serikali iserekebishe tatizo la pale kwanza,Ferry ndio commercial area mimi naona wangeanza na Ferry mpk Machava kwanza hapo hata ss wananchi tungekuwa na imani.
Baada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.
Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv
mji unaotakiwa kujengwa kigamboni ujengwe kigoma ujijiBaada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.
Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv
serikali ya ccm haiwezi kujirekebisha,lamsingi ni kuondoka madarakani maana wana macho lakini hayaoni wana masikio lakini hawasikii wanamikono lakini haishiki wanamiguu lakini haitembei wala hawatoi sauti kupitia kwenye koo zao, hivyo hawafai tena kuongoza nchi hiiSerikali sasa wanatakiwa wakae chini wajipange vizuri kuiendesha nchi kwa manufaa ya wananchi na si kwa matakwa na manufaa ya kundi la watu fulani. Wasipokaa vizuri yaliyotekea Libya, Misri na Tunisia hayako mbali Tz kwa hali ilivyo sasa.