Mji wa Iringa katika mwonekano mzuri

Kuna uzuri gani Iringa. ? Mji ulishakosewa tangu ukoloni.
Barabara za panya.
 
yaleyale ya mbeya,hii ni miji au vijiji vikubwa,kumbe tanga tunastahili kujidai tuna mji mzuri karibuni tanga
 
Miaka zaidi ya kumi sijapita huko. Nice place, weather, food.
 
Kuna uzuri gani Iringa. ? Mji ulishakosewa tangu ukoloni.
Barabara za panya.

Ni mji unaoongoza kwa usafi Tanzania. Je wakwako umeshika number ngapi kwa usafi mkuu.
 
Kwenye signature yako Tony Gwanco: vp ukikutana na mwana ccm mwenye bomu na bunduki? afadhali hapo?
 
Last edited by a moderator:
 
Kwanini uongope? Humu wadau wanajifunza mambo tofauti tofauti. Wengine hatujafika Maeneo yote ya Tanzania hivyo tungependa angalau mandhari kwa picha za uhalisia .
 
hapo sina imani na hiyo picha safu hizo za milima zimesimama mno wakati kitonga sivyo.
 
hapo sina imani na hiyo picha safu hizo za milima zimesimama mno wakati kitonga sivyo.

Yes it is. Inawezekana mleta mada alichukua picha bila kuangalia chanzo halisi cha picha hiyo, nimefanya utafiti ni sahihi picha hii ni ya Latin America. Jambo la msingi umbile la milima linaelekea kufanana isipokuwa hii pic slop ni kubwa zaidi. Barabara ya Iringa ni paved road wakati ile ya Latin America not paved road. May be wameweka loose pavement yaani kushindiliwa kwa kokoto bila lami.
 
yaleyale ya mbeya,hii ni miji au vijiji vikubwa,kumbe tanga tunastahili kujidai tuna mji mzuri karibuni tanga



Tanga pazuri ila hakuna mabadiliko makubwa kwa miaka kadhaa. Nilifika mara tatu miaka michache iliyopita, juzi nimepita na kuangalia toka angani nilipokuwa ndani ya ndege ya Ethiopian airline panaonekana kama kijiji tu, ndo miji yetu ilivyo. Kule Chumbageni labda kuna upekee zaidi. Ile hoteli ya Mkonge ilikuwa maarufu enzi zake lakini leo imebaki makumbusho tu kama Tabora hotel.
 
Ni barabara ipo Bolivia, Amerika ya kusini. Ukiwa unatoka La Paz (mji mkuu) kuelekea mikoani ndo unapita barabara hiyo
inawezekana ni bolivia, hiyo kusema ni kitonga naona sio kweli.
 
inawezekana ni bolivia, hiyo kusema ni kitonga naona sio kweli.

Siyo kwamba inawezekana kuwa ni Bolivia, ni Bolivia huko. Binafsi nimepita hiyo barabara mara tano hivi nilipokuwa huko mwaka 2007 na 2008. Ipo milimani, na mara kwa mara kunakuwa na ukungu. Ni sehemu hatari! Ki taswira unaweza kufanani na hiyo kitonga ingawa kitonga ni tambarare na wala haitishi
 
Wadanganye watoto bro!!! usifikiri watu ku google hawajui,haya ndo matatizo ya div 5,hata geography imekupiga chenga
 

haiwezi kuwa kitonga ukubali au ukatae
 

Hata kitonga hakuna lami ni nondo zimetandazwa chini na zege likamwagwa anzia mwanzo wa mlima hadi mwisho nilishuhudia mwenyewe nadhani ujenzi ulianza 2004 kama sikosei.
 
Hata kitonga hakuna lami ni nondo zimetandazwa chini na zege likamwagwa anzia mwanzo wa mlima hadi mwisho nilishuhudia mwenyewe nadhani ujenzi ulianza 2004 kama sikosei.

Hujasoma na kuelwa nilichoandika, namaanisha barabara ya Kitonga ni ya lami lakini hii ya latin ameriaka si ya lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…