Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,374
- 29,617
Wanajamvi kuna mmakonde mmoja wa Msumbiji ananitambia hapa, anasema Maputo imejengeka, umepangika na ina ustaarabu mkubwa kuliko Dar.. Ananiambia Dar haifikii hata robo ya Maputo kuanzia kwenye investment za majengo, hotels na beach nzuri kama Miami.. Miundombinu ya barabara pia anasema iko vizuri mno.. Pia mzunguko Wa biashara ni mkubwa kuliko dar
Jamaa kanitambia mpaka nimewish nitake a vacation there, kama kuna ambae ashafika hebu aprove kama hayo ya huyo mmakonde ni ya kweli au lah
Sam,
You're very right, hapa watu wanafuata maslahi yao tu! Waandishi wa habari wa haya magazeti yetu ambayo BWM amewahi kuyaita bado yako kwenye "Primitive Age"(ref CNN Khan), wabunge wetu ambao wnaona haya kusema ya IPTL, "real abomination and disgusting"; hasa kuona watu wazima tunaburuzwa kama matrekta. Are you seeing any future for such a country? We never had a civil war, any strife, but still economically and social political we are classified in the same group with Somalia and congo DRC!! Vanity!
Look here: The top 10 richest countries in Africa are (in order): Mauritius, South Africa, Botswana, Seychelles, Namibia, Tunisia, Libya, Algeria, Gabon and Swaziland.
Of the top 10 poorest countries in Africa Somalia, Sierra Leone, Comoros, Eritrea, Ethiopia, Niger, Malawi, Tanzania, Congo DRC, Chad
Maputo, beira zilijengwa na wazungu kwa nguvu kubwa mpaka 70s, dar ilijengwa na wahindi mpaka 60s.
Kwa mtazamo huo maputo ipo juu kwa miundo mbinu.
Ukiangalia vema maghorofa ya dar ni viwanja kwa wawekezaji, baada ya miaka 15 hata Nairobi itakuwa imepitwa na dar ila la msingi maendeleo hayo yanamnufaisha nani kwama wazalendo viwanja vyetu vipo chanika, magomeni 200m nani mwenye nayo.