Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Ni ukweli usiopingika; maputo zamani ikiitwa Lorenco Marques is about twice the size of bandari ya Salama; Big multi lane streets; high rise buildings, gardens kubwa kubwa; club za starehe na mahoteli mazuri mazuri; street lights kila kona;
Wareno waliujenga kama nyumbani kwao kwa kudumu; hawakutarajia kuondoka; slum dwellings na malundo ya takataka mjini vimeanza kuonekana katika miaka ya karibuni; si unajua utawala wetu huu wa kibongo bongo!
Visit maputo, it will be money well spent; hautajuta hata kidogo
Dar is the worse city in africa. nimetembeatembea kidogo ....dar in aibu...!!! Nenda tu hapo kigari rwanda ushangae..!!!jamaa wamepigana vita ...ila saafii...!!
Maputo hiyo.
Hivi tuna laana ama nin?? Sasa na sisi tujitahidi hii miji inayochepuka miaka hii tuipange vizuri
na mifereji ya road drainage ndio dampo ya taka ngumu na maji taka.mkuu ni laana...hatuna viongozi. dar ni jiji pekee ambalo unaweza ukawasha moto wa mkaa kituo cha daladala na ukaanza kuchoma mahindi na mishikaki....!!
ukiwa ndani ya gari...barabara zote ni jalala...kila ulacho ndani ya gari unatupa nje..!
Mi naijua Maputo, ni ya kawaida tu wala tusiongopeane. Hao wamakonde wengi hawajafika Maputo, kwao ni Pemba kama wameshuka sana ni Nampula tu. Sasa we ukitegemea mmakonde akupe habari za Maputo, na wamakonde walivyo waongo vile unategemea nini?
Maputo city center ni Polana, ukilinganisha na ya Dar bado sijakubaliana na wewe kwamba city yao ni babu kubwa. Alafu unasema Lanes, sijui zimejengwa lini. Maputo ufukwe wa kung'aa ni Costa do Sol, wakati Dar tuna beach za kigamboni na kaskazini bado zinavutia tu.
Eti ukiniambia Dar ni chafu, sasa hiyo Maputo usafi wameutoa wapi? Labda huijui vizuri Maputo ulipita kijuu juu tu. Hayo mambo ya starehe ndio tusidanganyane, Dar unaweza kujirusha kuanzia jumatatu mpaka weekend, wakati Maputo kuna weekend nyingine labda uende machafuchafu.
Mji kama Maputo huwezi kuishi kama umezoea Dar.
Salamander umesema kweli,hivi uliyeleta thread hii unauhakika na unasokisema au umeamua kuwa mchekeshaji?Dar na Maputo wapi na wapi?Mji wa maputo majengo mengi ni chakavu,anzia pale Afrin Hotel ambayo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Polana hotel (sio super market) iliyo karibu na mtaa wa ubalozi wa uingereza (ni ya kawaida tu),mji wao ni mchafu hasa centre unapotoka kituo chao cha ferry(karibu na afrin hotel),population ni ndogo,gari nyingi za made in south afrika ndo nyingi,air port ya maputo ni kama ya mwanza,soko lao la ferry ni chafu kwenye samaki wachanga,ila wanapenda raha sana na viwanja huwezi fananisha na dar,fedha yao ina thamani kuliko yetu (MITIKASI),wewe mleta thread ondoa uongo wako hapa wa kuifananisha Dar na Maputo.Kwa kukusaidia zaidi tafuta majarida ya The Economist na The African kuhusu takwimu za watu na maendeleo duniani yalivyoizungumzia Tanzania na Dar yake inavyopaa.Achana na magazeti ya udaku we mmakonde.Hahahahaaaaa!!!!!:A S 109:
Dar is the worse city in africa. nimetembeatembea kidogo ....dar in aibu...!!! Nenda tu hapo kigari rwanda ushangae..!!!jamaa wamepigana vita ...ila saafii...!!
tembelea na mji wa beira piaMi naijua Maputo, ni ya kawaida tu wala tusiongopeane. Hao wamakonde wengi hawajafika Maputo, kwao ni Pemba kama wameshuka sana ni Nampula tu. Sasa we ukitegemea mmakonde akupe habari za Maputo, na wamakonde walivyo waongo vile unategemea nini?