Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Usiku huu unasubiri kimbunga kilichoahidiwa na malaika wa mkoa.Mchana wa leo kaahidi mbele ya camera za waandishi wa habari kuhusu KISHINDO kikuu!
Yetu macho na masikio.Pande hizi nilipo wananchi wanasubiri kwa hamu kuhusu kishindo-ahadiwa na Mungu-mtu Huyo.
Yetu macho na masikio.Pande hizi nilipo wananchi wanasubiri kwa hamu kuhusu kishindo-ahadiwa na Mungu-mtu Huyo.