Mji mzito huu

Mmh radio inayokua kwa kasi EFm au , mmmh nimetoka bila bila hapa

Ila km nahis ni hio hio maana km skosei ndo boss wke ni mfupi na anategemea kuowa hivi karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! Hizi mambo mnazipata wapi?

Tupeni full information.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! itakuwa safi sana kama ndoa yao imevunjika, acha DC akomae kwa mkewe

akangalau apate mtoto sasa maana miaka inaenda tangu kaoa hajafanikiwa atubu na Mungu amjalie nae awe baba., aache sasa michezo ya Amber Ruty.
[emoji23][emoji23][emoji23] Dc alikuwa chakula toka miaka hiyo tunapiga nae kitabu MLIMANI
 
Kwani wanatongoza basi unanuliwagari au unafunguliwa duka unaambiwa lako, siku kdhaa mbele unaambiwa toa mzigo kama hutaki unanyang'anywa umiliki. Na wewe ushaonja pepo utaisha kusema "ila usitangaze"
 
According to the codes it is a minister of state who wanted to be appointed a Prime minister for his work but the jiwe refused and threw him to a min ministry. The only one of the origin gang of 3 to survive the purge to date.
Kuna kipindi gazeti moja la udaki liliandika wabunge vijana kupeleka hoja ya ushoga bungeni (ipitishwe) na waliweka picha za wabunge watatu kama sijasahau na yeye akiwa mmoja wao, ila kitambo kama kuna mwenye kumbu kumbu
 
😭😭πŸ₯°πŸ˜πŸ™„πŸ™„
 
Kwani wanatongoza basi unanuliwagari au unafunguliwa duka unaambiwa lako, siku kdhaa mbele unaambiwa toa mzigo kama hutaki unanyang'anywa umiliki. Na wewe ushaonja pepo utaisha kusema "ila usitangaze"
πŸ›ŒπŸ›ŒπŸ’‰πŸ’‰
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…