Mji mzito huu part 2

Ndo ivo itabidi wakubaliane na ukweli na uhalisia ulivyo, ila hii dhana potofu na mtazamo hasi hapana inaumiza wahusika kwa kweli. Mie najua hali ilivyo
.
Unajua kwasababu na ww ni punga tena wa kujitakia,usisingizie homon imbalance
 
Sawa mkuu,,usihofu tupo pamoja
 
Exposure ikikosekana watu wanajiropokea tu bestie.
 
Ila mnakosea sana kuwa kuhukumu watu ambao hamuwajuhi vizuri.
 
Exposure ikikosekana watu wanajiropokea tu bestie.
Hapana ifike wakati sasa Jamii iwe na Elimu kuhusu masuala ya Ujinsia, kuepusha hii dhana potofu na mitazamo hasi juu ya wahanga wa hili suala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…