Mjane



Off point
 
Eksi kidumu, hata mie nikikutana na mbaba ambae kafiwa na mkewe namuangalia kwa macho matatu mwenzangu. Ila sasa huyu ni mnyanyapaa tu. Bora angeachana nae yakaisha.


samahani, nomekununia.
 

hapo ndio kwenye maneno. inawezekana mtaani kuna minong'ona kwamba husband wa Mjane aliathirika hivyo kumfanya kijana awe na wasiwasi.
 
Last edited by a moderator:
Umemaliza!
tafuta kiporo chenzio uepuke unyanyapaa. Kama mie saa hizi binti Mtambuzi nikaolewe na mtoto wa jk, si kujitaftia kunyanyapaliwa tu! Hata babangu akinimiss akaja kuniona watadhani anakuja kushangaa ama kuomba! Wooi!
 
Last edited by a moderator:
Sikujua kuwa mume akifa mali ni za ukoo...(wewe unatokea pande za Odinga nini? )

Nijuavyo agegedwe; au aamue kuolewa mali zitabaki kuwa zake na watoto wake...kuwa mjane si kuwa mtumwa wa ukoo; na kukosa uhuru...ila kwa watani zangu Jaluo najua opposite is true

 
Eksi kidumu, hata mie nikikutana na mbaba ambae kafiwa na mkewe namuangalia kwa macho matatu mwenzangu. Ila sasa huyu ni mnyanyapaa tu. Bora angeachana nae yakaisha.


samahani, nomekununia.
Umeona eeh mpenzi,,,kwa kweli ila ulivyoninunia sijapenda.
 
Pole,,, achana na huyo kijani hafai tafuta mtu mzima.
 

Mama shikamoo.. Pole kwa uchupa wa Muda mrefu.. Ishauri usiwakurupukie hawa vijana wa siku hizi hawana adabu huwa wanataka pwesa tyuu.. Na ndio mana hakuamini..

Daima kumbuka mtu anaempenda mtu huwa ana mwamini mpenzi wake.. Na kama hakuamini tena. Jua huyo tapeliiiii
 
we mama hebu acha kumpotezea muda kijana wa watu.
 

Sijazigawa mali za marehemu, hapana. Zinamsuta huyu mjane mwenyewe ndo maana akasema anataka kuwalea watoto wake 2 akiwa pamoja na ndgze marehemu.
Hii kwa maana ni kuwa, anaona asiondoke na mali za marehemu ili tu aweze kuifurahisha roho/nafsi yake isimsute. Inaonesha alimkuta marehemu na mali zake za kumtosha hivyo anaona akiolewa nje ya ukoo atasutwa na mali hizo.
Sijamnyima uhuru wake, aolewe lakini na mtu wa saizi yake siyo kijana ambaye hajawahi kuoa. Simshauri kuwavutia vijana wadogo kwa mali za marehemu, au weye nyumba kubwa unaonaje?
 
Ikiwa umeshapima tayari mara kadhaa na majibu yako mazuri, tatizo nini asichoelewa huyo ndugu?

Mbona hajiamini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…