Ni miaka 2 toka Mume wangu Mpenzi afariki,kwakuwa ni jambo ambalo limekuwa linaniumiza sn ,nimeamua kutoolewa nilee tu mtoto wangu na ndugu zake .Pamoja na hayo nimekuwa na mahusiano na kijana ambaye nimemzidi miaka 3 kiumri ,tatizo linakuja amekuwa aniamini ,anadhani kuwa mm ni muathirika kwakuwa nimefiwa na mume pamoja na kupima zaidi ya mara 4 na kuonekana niko safi ,kwakweli anazidi kuniongezea maumivu badala ya kuwa msaada kwangu...nifanyaje ?