Hayuko vizuri hajui kitu, hawa ndio aina ya watu huwa wanasababisha chuki kwa serikali wakati vitu vipo wazi kabisa, wajane wengi wanateseka kwa sababu ya watu kama huyu wenye elimu za kukariri darasani lakini akili hawana, akili na elimu ni vitu viwili tofauti kabisa.