Dini gani wewe, umeoa ama lah!! Moja ya sababu kuoa wajane ni kuwafariji, kama inawezekana chukua ngoma hiyo, umri hauna nafasi kwenye malavidavi, almuhimu kuheshimiana, kusikilizana na kuthaminiana. Vikiwepo hivi baina ya me na ke, kwisha kazi.. Limbwata haioni ndani.