ananipenda sana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi? Ndio...
  2. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Kuna Msichana ananichangamkia kama ananipenda ila nikimtongoza anakataa

    Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako innocent utasikia innooooooooo yaaan kawaida kukuita ita ila ukimbamba ukatia vocal ana piga chin...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mjane ananipenda sana

    Wakuu, Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi. Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sasa kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi. Mtu kama huyu namfanyanje...
  4. Mlundilwa Jr

    JamiiForums Tanzania Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

    Buheri mazee Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi...
Back
Top Bottom