The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,437
Hatari hiyoNaomba kuuliza
Mwanamke mwenye mimba ya miezi 9 , naweza kumsafirisha kutoka dar to dodoma?
Kuna emergency itabidi asafiri immediately
Kiafya ipoje hii
Na huo mtumbo wote?Magufuli wakati anasema tujenge SGR mlipinga hadi mkatoka nje ya bunge kenge nyie.
Haya nenda umpandishe treni ya SGR ni masaa 3 tu yupo Dom
Achana na hiyo emergency usije ukaleta emergency nyingineNaomba kuuliza
Mwanamke mwenye mimba ya miezi 9 , naweza kumsafirisha kutoka dar to dodoma?
Kuna emergency itabidi asafiri immediately
Kiafya ipoje hii
Tren then gariusafiri upi? kama ndege usihofu chap,,
ila gar ni hatari
Asee basi sifanyi hivyoMarufuku
Tena usijaribu hilo ni suala la uhai wa mtu