mzee msoko
Senior Member
- Jan 30, 2020
- 113
- 221
Habari,Habari za leo wana JF,Mimi nina mke ambae kwa sasa ana ujauzito wenye miezi 5 lakini ni kama mwezi mmoja anapata KWIKWI mfululizo isiyokwisha. Je,yaweza kuwa tatizo nini?
Naam anapata kiungulia piaHabari,
1: ningependa kujua kama ana lalamiko lolote la kiungulia/gastric irritation.
2: asipofanikiwa kwa post namba mbili, afike hospitali kwa uchunguzi zaidi.
pole, huenda ni gastric .Baadhi hutafuna biscuit na kwikwi kuishaHabari za leo wana JF,Mimi nina mke ambae kwa sasa ana ujauzito wenye miezi 5 lakini ni kama mwezi mmoja anapata KWIKWI mfululizo isiyokwisha. Je,yaweza kuwa tatizo nini?
Shukran kwa ushauriTena sana
Af atakuwa kalogwa zingatia waulize kwenu wazee wakupe dawa
Asante kwa ushauriKapate ushauri wa daktari
Naam anapata kiungulia pia