Mjamzito kumnyima mpenziwe tendo la ndoa

Kwani Ngombe akiwekwa mimba anapandwagwa tena? Lengo la kufanya ngono ni ili uweke mimba,haya umeweka unataka nini tena au mapacha?
 
ha ha ha ha kwa wanyama sawa,ila kwa binadamu ni sehemu ya starehe/kufarijiana
 
Dhambi kwa kifungu gani ?
Ni kweli siyo dhambi mkuu kumla mkeo. Ila kibinadamu siyo busara kuburuzana na mjamzito ambaye kabla ya hali hiyo kumpata alikuwa anatoa bila shida. Wale wanaokataa kutoa wakiwa wazima kabisa bila mimba hao kuburuzana nao ni sawa kabisaa na hakuna dhambi yeyote. Hata kama ikipelekea akanuna hakuna shida maana hawaeleweki. Mpango wa kando ataki na yake aibanie sasa itakuwaje mzee baba hana option zaidi ya kulazimisha aka kubaka mke.
 
Word... mkuu
 
Kuna dada aliniambia yeye alitoa mzigo,then baada ya saa tatu kupita akapata uchungu.Aliendelea kueleza kuwa katika hali ya ujauzito akshi yake huwa ipo juu sana.Hivyo kama hakuna shida wala maumivu anayapata mwanamke unakula cha msingi ni positioning za ulaji tuu.
 
Ivi kwani mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo hadi kipindi mimba ina umri gani?
Kama hana matatizo yeyote inaruhusiwa mpaka miezi tisa ule usiku au muda kabla hajapelekwa leba unapiga vyombo tu mkuu..
 
Back
Top Bottom