Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,897
Kwa nini miezi ya mwanzo katika ujauzito,wanawake wetu wanakuwa wanasumbua sana kumpa penzi mwenzi wake?Huwa wanafanya makusudi au ni kutokana na hali waliyo nayo?Tatizo huwa ni nini?
Kwa nini miezi ya mwanzo katika ujauzito,wanawake wetu wanakuwa wanasumbua sana kumpa penzi mwenzi wake?Huwa wanafanya makusudi au ni kutokana na hali waliyo nayo?Tatizo huwa ni nini?
ha ha ha haWanabipu tu hao, mbona huwa mimba zao hazichukii wala kukataa pesa?
ha ha ha ingia field mkuuNimekuwaa nikisikiaa mjamzitoo ni mtamuu balaaa aseee
kama hana matatizo,unaweza ukapiga mwanzo mwishoIvi kwani mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo hadi kipindi mimba ina umri gani?
ha ha ha ha nadhani ni kutokana na ile hali ya mabadiliko tumboni,kihisia anajua wewe ndio umemsababishia hayo matatizo.Au mtoto anakataa kumsumbua mama yake?😂
Kwa asilimia kubwa,miezi ile ya mwanzo huwa wabishi kushiriki tendo la ndoaSijawah experience hii kitu na wala sifahamu Kwan ni kwel kwa wote au umechukua sample ya wachache
Kwa nini miezi ya mwanzo katika ujauzito,wanawake wetu wanakuwa wanasumbua sana kumpa penzi mwenzi wake?Huwa wanafanya makusudi au ni kutokana na hali waliyo nayo?Tatizo huwa ni nini?
ha ha ha ha ha wanasema kupalilia njiaMtu umeshaweka ujauzito bado unataka tendo ili iweje ?
Itakuwa wanakuwa hawako comfortable plus ile Hali bado hawaijaizoeaKwa asilimia kubwa,miezi ile ya mwanzo huwa wabishi kushiriki tendo la ndoa
ha ha ha ha haItakuwa wanakuwa hawako comfortable plus ile Hali bado hawaijaizoea
Daah ila mkuu punguza mangunga daah hata akiwa hicho kipindi unadandia
Yah hasa joto mkuu.Nimekuwaa nikisikiaa mjamzitoo ni mtamuu balaaa aseee
Inategemea mtu na mtu mkuu. Tabia mimba zinatofautiana kuna wanaotaka sex zaidi wanaposhika mimba, kuna ambao hata kuwaona tu waume zao hawataki kabisa na vitabia vingine tofautitofauti.Kwa asilimia kubwa,miezi ile ya mwanzo huwa wabishi kushiriki tendo la ndoa
ha ha ha ha hiyo ni dhambiBaka tu
Dhambi kwa kifungu gani ?ha ha ha ha hiyo ni dhambi