AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Nashukuru kaka...mimi mpaka kichwa kinauma...nakosa hata hamu ya kula...Duuh! pole mkuu ila kwakua Jf ni kisima Cha Maarifa tusubiri wajuzi wa hili waje kutia neno
Mwanaume ukipanik zaidi ya mke una hatarisha maisha ya mama na mtoto,kuwa jasiri
Nashukuru sana kidogo umenipa relief...Kupitiliza kwa siku ya kujifungua hutokea wanachofanya madaktari wanachukua ultrasound tena wanaangalia kama placenta imechoka au vipi kama siku zimepita kama bado basi watampa muda tena, hapo madaktari huwa wana rely sana kwenye ultrasound ya kwanza kabisa kutumia kujua mtoto yupo week ya ngapi ,halafu kama maji yameshatoka nilifikili yupo nyumbani kama yupo hospital basi haina shida,cha msingi weka matumaini kwa madaktari hofu haina maana zaidi ya kukufanya kuwa chizi
Mungu atamsaidia,hiyo case nimeishuhudia Shemeji yangu alijifungua miezu 11but alijifungua salama tu
Yatapita hayo mkuu na shemeji atajifungua salama(inshaAllah) wewe andaa tu jina la mtotoNashukuru kaka...mimi mpaka kichwa kinauma...nakosa hata hamu ya kula...
BABA NASHUKURU SANAAA...NITAUFANYIA KAZI USHAURI WAKO...TENA KUANZIA SASA...Hakuna ultra sound huko mkuu maana naona madokta wanafanya unajimu kwenye dunia ya kidigitali.
Ikiwa ipo wampime ujue mtoto kakaaje, wapo wangapi na kadhalika. Vitu vingine kama baba chukua hatua usikabidhi kila kitu cha maamuzi kwa hao jamaa.
Yatapita hayo mkuu na shemeji atajifungua salama(inshaAllah) wewe andaa tu jina la mtoto
Aisee...mpaka sometimes naogopa labda naingilia kazi ya Mola wangu narudi nyuma...lakini wakati mwingine Kufanya jitihada ni sehemu ya Qadar ya Allah...Unaletewa kidume, kuwa na subra mkuu.
Mkuu nadhani ungewasikiliza wataalam hapo hospital wanakwambia nn,cos wao ndo wana mpimaSasa yaani mwezi mzima akae tu hospital jamani...c bora huyo shemej yako alikaa nyumbani...