Iv tcu kwa nn wasiwe wanapanga minimum entry za vyuo vikuu kabla ata watu husika hawajafanya mitihan ,kwan iv kupanga kila mwaka na baada ya mitihan hua inaumiza sana wanafunz kama mwaka jana princple ilikua e ikapandishwa mpaka D Tena mbili,kwa mwaka huu tena wamebadli hasa kwa afya et uwe una atleast D Tena ya phy na zngne uwe una c tena wakaongeza na point 8 of all subjects iv huon inakua inawaumiza hasa pcb maana phy n shda na weng hawalikomalii sana kwa vigezo ivo c weng watakosa maana average weng ufaulu wao n E na je kama mtu akapata ECC inakuaje apo na mtu anataka kusoma MD au phamarcy au ndo malengo yatakua yamepotea ivooo
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app