Mjadala upi na nani aliechangia ukaelimika

Dunda kwetu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
265
37
Wana JF hapa tulipo mda si mrefu ni jtatu itakuwa sio mbaya ukajumuika nami kwa kutuabarisha mjadala upi ulio faidika kwa namna moja au nyengine a.k.a uligusa hisia na kuelimika na nani alichangia kwa umakini zaidi sina maana wengine waliochangia hawakuwa makini


1.Jua haki yako unapokamatwa na Polisi,Mjadala ulirushwa na Dada Bikra
na mwana haki alichangia vizuri sanaoa

2.Anti Lizzy alirusha mjadala ulikwenda kwa jina la Zawadi na wengi kuujadili
Je wewe una mjadala wowote oa​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…