anaweza kuyapata hayo magonjwa uliyoyataja,lakini ni kwamba hawezi kukuambia au kwenda hospitali,mtu anaweza akapimwa akagundulika ana magonjwa mengi at the same time nazungumzia ugonjwa anaoweza kupata baada ya ukichaa wake mfano tumbo, kipindupindu,tyfod etc
inawezekana mtu yoyote hata (yule mzima) asipokuwa na hofu hawezi kuumwa? (nipo kwenye utafiti kwa hili)
Huo utafiti uliufanyia wapi??Habarini ndugu wadau wa JF.Amani iwe kwenu!
Nimejaribu kufanya kautafiti kangu kadogo nikagundua kwamba ni mara chache sana kumkuta kichaa au muokota makopo anaumwa ama kalazwa kwa tatizo la majonjwa mfano Kipindupindu. Malaria. Kuhara. Malaria. Kwashiako. Kaswendwe. Kisonono. Kichwa ama matatizo yanayoendana na hayo!
Kuna kipindi unamuona kichaa anaokota makopo na kula vitu vichafu chafu huko majalalani lakini huwezi muona anaumwa magonjwa ya mlipuko akalazwa hospitali seriously kama watu wengine!
Nini mbinu yao hawa wenzetu?
Unaposema ni aghalabu una maanisha ni mara nyingi au mara kwa mara. Aghalabu haibebi UCHACHE wa jambo inawakilisha WINGI.Habarini ndugu wadau wa JF. Amani iwe kwenu,
Nimejaribu kufanya kautafiti kangu kadogo nikagundua kwamba ni mara chache sana kumkuta kichaa au muokota makopo anaumwa ama kalazwa kwa tatizo la majonjwa mfano Kipindupindu. Malaria. Kuhara. Malaria. Kwashakoo. Kaswendwe. Kisonono. Kichwa ama matatizo yanayoendana na hayo.
Kuna kipindi unamuona kichaa anaokota makopo na kula vitu vichafu chafu huko majalalani lakini huwezi muona anaumwa magonjwa ya mlipuko akalazwa hospitali seriously kama watu wengine.
Nini mbinu yao hawa wenzetu?
neno, "Aghalabu" maana yake ni: mara kwa mara, mara nyingi au kwa kawaida. Kwa English ni: always, often or usually.Unaposema ni aghalabu una maanisha ni mara nyingi au mara kwa mara. Aghalabu haibebi UCHACHE wa jambo inawakilisha WINGI.
Hivyo kichwa cha habari kipo tofauti na maelezo uliyoyatoa.
Aghalabu...au ulitaka kumaanisha "nadra"??Habarini ndugu wadau wa JF. Amani iwe kwenu,
Nimejaribu kufanya kautafiti kangu kadogo nikagundua kwamba ni mara chache sana kumkuta kichaa au muokota makopo anaumwa ama kalazwa kwa tatizo la majonjwa mfano Kipindupindu. Malaria. Kuhara. Malaria. Kwashakoo. Kaswendwe. Kisonono. Kichwa ama matatizo yanayoendana na hayo.
Kuna kipindi unamuona kichaa anaokota makopo na kula vitu vichafu chafu huko majalalani lakini huwezi muona anaumwa magonjwa ya mlipuko akalazwa hospitali seriously kama watu wengine.
Nini mbinu yao hawa wenzetu?
Law of attractionHawaumwi mwili(body) kirahisi kwa sababu hakuna command inayotoka akilini (mind) mwao kwenda kwenye body. Mfano, wewe uliye mzima (yaani mwenye degree chache sana za ukichaa-kumbuka kila mtu ana degree zake za akili kichaa na akili nzima) ukila chakula kichafu jalalani command itatoka kwenye mind itaenda kwenye body kisha body itatafsiri kwamba niumwe kipindupindu au kuendesha. Hawa wenzetu hawana hiyo command. Ili uelewe dhana hii, rejea somo kuhusu: roho (soul), akili (mind) na mwili (body).